Frobits
🎵 A song made on Frobits

Mkono Wa Baraka

DAUGHTER OF ZION👑 · 🇰🇪 Kenya
0:000:00
Download Remix
Make your own song
Continues securely on the web
Lyrics

[female vocals] INTRO:

Kumepambazukaaa,

naiona

baraka

yangu

Mungu

wangu.

[Verse 1] Sioni

sababu

yakulalamika

mbele

zaakooo,

maana

umetenda

zaidi

yanilivyokuomba

sirini

Baba

yangu.

Nanaelewa

nikikosa

leo

umempa

yule

Baba

yangu.

Umenifunza

upeeeendo,

umenifunza

huruma

Baba.

Nakataa

kuhitimu

darasani

pako

mimi

Darling

eeeh,

maana

hii

leo

yangu

niushuhuda

wangu

kwako

siku

zote.

[Chorus] Hakika

asante

kwa

kunipenda

pasipo

kipimo

Na

tena

asante

kwa

kunikumbusha

mimi

ni

wa

thamani

kubwa

Hakika

asante

kwa

kunipenda

pasipo

kipimo

Na

tena

asante

kwa

kunikumbusha

mimi

ni

wa

thamani

kubwa

Sifa

kwa

Bwana,

utukufu

juu

mbinguni

Sifa

kwa

Bwana,

utukufu

juu

mbinguni

[Verse 2] Nitangulie,

uniongoze,

nitokapo

na

niingiapo

Usiruhusu

ardhi

inimeze

kwa

uovu

upitao

Unikumbushe

kwamba

mimi

msafiri

na

ninapita

tu!

Huruma

yaaaaako,

pekee

tu

imenibeeeba.

aah!

Umenishika

mkono,

umenivusha

milima

Sitaogopa,

sitahama,

niko

na

wewe

Mungu

wangu.

[Bridge] Nisisahau

umenivusha!

Nisisahau

umenipenda!

Nisisahau

umeniheshimisha!

Kwa

kila

hatua

ninyenyekee

Mimi

Darling

umenifuta

machozi.

Umenitoa

pakuyumba

yumba,

Na

nyumbani

pako

umeniweka!

[Verse 3] Eeeeeei

eeeeeeei

Machozi

yangu

hayakuwa

ya

bure

Mungu

wangu

Aibu

yangu

haikuwa

ya

bure

Baba

yangu

Kukataliwa

kwangu

hakukuwa

kwa

bure

Mungu

wangu

Kuhangaika

kwangu

ni

gharama

yangu

Baba

yangu

Sasa

naona

nuru

yako,

inang'aa

mbele

yangu

Sifa

na

heshima

kwako

milele

na

milele

[Chorus] Hakika

asante

kwa

kunipenda

pasipo

kipimo

Na

tena

asante

kwa

kunikumbusha

mimi

ni

wa

thamani

kubwa

Hakika

asante

kwa

kunipenda

pasipo

kipimo

Na

tena

asante

kwa

kunikumbusha

mimi

ni

wa

thamani

kubwa

Yesu

ni

mwema,

Mimi

Darling

mwana

wako,

nanyenyekea

saana

miguuni

pako.

Asante

kwa

kila

hatua,

Mungu

wangu

Utukufu,

sifa,

na

heshima

ni

vyako

Amen,

Amen,

Amen!

Amen,

Amen,

Amen!

More songs by DAUGHTER Listen to songs created by others
FROBITS