[chinga one onlneitivi
Evasinafa Ndossa, najitoa kwako mpenzi
Jasper Jackton Luharara, wewe ndio wangu mpenzi
Nimefunga safari, moyo wangu nauleta
Kwenye mikono yako, babaai
Naomba unipokee, mpenzi wangu Jasper
Ni wewe pekee, moyoni mwangu unayo nafasi,
Naomba unipokee, mpenzi wangu Jasper
Mapenzi yetu yawe safi, kama maji ya chemchemi
(weka corus)
Ninakuja kwako sasa, mpenzi wa moyo wangu
Nawaacha nyuma baba Ndossa na mama Christina Ndossa
Baraka zao zinanifuata, safari hii ni ya milele
Kuelekea kwako Jasper, penzi letu linaelekea kule
Naomba unipokee, mpenzi wangu Jasper
Ni wewe pekee, moyoni mwangu unashine
Naomba unipokee, mpenzi wangu Jasper
Mapenzi yetu safi, kama maji ya chemchemi
Wakina Luharara, mnipokee mwali wenu
Nimekuja kwa heshima, kujiunga na familia yenu
Ni kwa heshima ya babu yangu, leo ninaimba
Chinga One Online TV, furaha yangu inaangaza
Dodoma hadi nyumbani shinyanga sifa zako zatambulika
Jasper, wewe nimpole unanifanya natabasamu
Sisi ni kitu kimoja, hatutotenganishwa na kitu chochote
Mapenzi yetu ya kweli, yamejaa kila baraka
Naomba unipokee, mpenzi wangu Jasper
Ni wewe pekee, moyoni mwangu unayengaa,
Naomba unipokee, mpenzi wangu Jasper
Mapenzi yetu safi, kama maji ya chemchemi,
Akina ndossa wote na wageni wangu nawapenda sanax2
chinga one olinetvii