Frobits
🎵 A song made on Frobits

Joyce, My Everything

Peliwaka Kuku Center · 🇹🇿 Tanzania
0:000:00
Download Remix
Make your own song
Continues securely on the web
Lyrics

Joyce Joyce Joyce nakumbuka siku nimekuona sura Yako nzuri na tabasamu mwananaaaa..Kila kitu mwilini mwangu kilisimamma na hata mapigo ya moyoUlifanya moyo wangu ukaruka kama ndege nani wa kuuzuia..Nilitamani niwe nawe daima Kila uendapo mkono wangu ukiwa umekushika vyema begani mwako. Sitaki mali sitaki pesa nakutaka wewe you...Tabasamu mwanana..sura Yako mwanana...sauti yako muruaaaa...navipenda Leo na kesho...talalaaa
..tuliiliii...imekaa poa Sana kuwa nawe...nakupenda nakuheshimu...kicheko chako ko kizuuuri na sauti yako ya kumtoa nyoka pangoni. Hakika umeweza kunishika. Asnte Kwa wazazi kukulea vyema. Heshima na adabu viwe nguzo Yako daima kipenzi. Usisahau kumcha Mungu na kumtegemea daima naye hatakuacha. Sifa zote nakupa lakini bila kumshukuru Mungu ni kufuru. Upendo wako usio na kifani ni tuzo maishani mwako...Binti mpole na mnyenyekevu Leo nakupa sifa usivimbe kichwa utapoteza sifa...hahaaaa...tabasamu muruaa
.sura Yako ya upole vyote vyaendana na moyo wako. Ishi sana sana mamangu...nakupenda Leo na.nyakati zote..kwenye ukimya na kelel wewe bado ni Joyce mwenye furaha kama jina lako...kumbuka usiharibu sifa njema...Kila la heri mamangu...love you

More songs by Peliwaka Listen to songs created by others
FROBITS