Frobits
🎵 A song made on Frobits

DADA ROSE KATUPONYOKA

Owiti Arwa Chitu · 🇰🇪 Kenya
0:000:00
Download Remix
Make your own song
Continues securely on the web
Lyrics

[male vocals] Chituz. (

drums

beats)

Aaah

Rose

Anditi…

Rose…

Rose…..

Umekiwacha

chako

kiti,

Kwa

nini

umetuwacha?

Machozi

yanatutoka,

Mioyo

yetu

imevunjika,

Tusijue

pa

kushika, (

Slow

violin)

Rose

Anditi,

umetuacha,

Rose

Anditi,

twakulilia,

Umetuachia

majonzi

moyoni,

Imekataa

kutulia,

Lakini

upendo

wako

hautakufa.

Rose

Anditi,

upendo

wako

bado

utatufaa,

Lala

salama,

lala

kwa

amani,

Tutakukumbuka,

Dada

Rozy

katuponyoka.

Eric

mume

wako

anabaki,

Akitazama

picha

yako

kwa

machozi,

Anajiuliza, “

Rose,

kwa

nini?” "

Hivi

utarudi

lini?

Jibu

lake

ni

ukimya

na

huzuni.

Gloria

mwanao,

anamkumbuka,

Andy

naye

machozi

yanamtoka,

Shelvin

jamani

bado

ni

mdogo,

Hana

hata

fahamu,

Kuwa

wewe

ni

Marehemu,

Leo

hawezi

kuuliza

kwa

nini,

Lakini

kesho

atatafuta

mama.

Atasema, “

Mama

Rose

yuko

wapi?”

Umemwacha

shosho

na

kipigo

Kizito,

Machozi

yamemganda,

Rose

Anditi,

umetuacha,

Rose

Anditi,

twakulilia,

Umetuachia

majonzi

moyoni,

Lakini

upendo

wako

hautakufa.

Rose

Anditi,

mama

wa

watu,

Lala

salama,

lala

kwa

amani,

Tutakukumbuka,

Rafiki

zako

wa

Msingi

Nyamware,

wanahangaika,

Kweli

umewaweka

Kwa

Giza,

Na

wale

WA

kidato,

Shule

ya

mabanati

ya

Migingo

huko

Kadiboo.

Kisa

hiki

kimewatatiza!

Dada

Rozy

Katuponyoka.

Caro

rafiki

yako

analia,

Anasema, “

Rose,

mbona

umeenda?”

Kweli

umemtenda,

Kumbukumbu

zenu

ziko

moyoni,

Na

machozi

na

majonzi,

yanamshinda

kuyazulia,

Caro

akimtazama

Shelvin

anazidi

kulia,

Wanajumuiya

wanasema, “

Rose,

pumzika

kwa

amani.”

Somo

yako

Rose

Asumo

na

Nyamalo

Mama

Cicion,

Mshtuko

umewapata,

Matumbo

yawakatakata,

Rose

Anditi,

umetuacha,

Rose

Anditi,

twakulilia,

Umetuachia

majonzi

moyoni,

Lakini

upendo

wako

hautakufa.

Rose

Anditi,

mama

wa

watu,

Lala

salama,

lala

kwa

amani,

Tutakukumbuka,

Dada

Rozy

Katuponyoka.

Isahya

na

Trizer

Kwa

huzuni

wanakukumbuka,

Calvo

na

Ben

wamebaki

wakiweweseka,

Selin,

Janet

na

Okello,

Mioyo

yao

imejaa

simanzi

na

inateseka,

Monica,

Atieno

na

Solomon,

Hiki

ni

kitanzi

cha

simanzi,

Melda,

Steve

na

pia

Awino,

Mioyo

imevunjika,

Pam

naye

mtima

wake

umeteseka,

Leo

wote

tunasema

kwa

pamoja, "

Rose,

hatutakusahau

kamwe."

Rose

Anditi,

umetuacha,

Rose

Anditi,

twakulilia,

Umetuachia

majonzi

moyoni,

Lakini

upendo

wako

hautakufa.

Rose

Anditi,

mama

wa

watu,

Lala

salama,

lala

kwa

amani,

Tutakukumbuka.

Dada

Rozy

Katuponyoka.

Rose…

Rose

Anditi…

Eric

atakukumbuka…

Gloria

atakukumbuka…

Andy

atakukumbuka…

Shelvin

atakutafuta…

Caro

atakukumbuka…

Familia

itakukumbuka…

Marafiki

watakukumbuka…

Rose

Anditi,

lala

salama…

Lala

kwa

amani…

Mungu

akupokee

katika

ufalme

wake…

Hadi

tutakapokutana

tena…

Rose…

Rose…

Rose

Anditi…

Tunakupenda…

tutakukumbuka

milele.

Rose

hili

Kwa

hakika

ni

pigo

zito.

Rose

Jaber......

Rose

Nyakamware,

Rose

Jahera,

Rose

Nyakopere....

Rose

Nyakwaya..

Rose

Nya

Tufariji.

More songs by Owiti Listen to songs created by others
FROBITS