Ah,
Messenger...
(Umezua
balaa)
Eeeh
mola
wangu...
Why
did
you
do
this
to
me?
Nilikuwa
kikaoni,
busy
na
ma-boss
Nikajua
kila
kitu
kiko
sawa,
no
loss
Nikakutuma
ofisini
kwangu,
nenda
ka-pick
ile
parcel
Mpe
secretary
haraka,
tusiwe
na
Kumbe
she
left
early,
akaenda
hospitali
Wewe
badala
usubiri,
ukaenda
mbali!
Ukafuata
nyumbani
kwake,
why
unajipendekeza?
Ona
sasa
jumba
la
karata
umelipoteza!
Ukaona
sifa,
kupeleka
Hukujua
unawasha
moto
wa
kiberiti
kwenye
petrol
Siri
za
kambi
sasa
zote
ziko
hadharani
Mume
mtu
amesoma,
presha
iko
juu
nyumbani!
Why
did
you
do
that?
Kijana
why?
Mbona
umeleta
kilio
chini
ya
hii
did
you
take
that
parcel
Ukaacha
dhoruba
imuangukie
mume
wake!
Messenger
umezua
Umetupiga
dafrau,
(dafrau!)
Ndoa
mbili
umevunja,
kisa
kipeperushi
Why,
why,
messenger
why?
Machozi
hayeshi!
Sawa...
nimekuachia
Mungu.
Boss
usinitungie
bonge
la
lawama!
Mimi
nilijua
nafanya
kazi
kwa
unyoofu
na
alama
kwake,
she
was
Mume
wake
akanipokea,
straight
on
the
ground
Akafungua
mzigo,
macho
yakamtokaje!
Kukuta
ile
iPhone,
na
barua
akasoma:
"Dear
my
love,
thanks
for
your
sweet
I
can't
wait
for
my
baby
boy
from
Nishakununulia
na
mjengo
kule
Runda,
Muda
wa
kumwacha
huyo
bogus
man
umewanda."
mume
alitaka
kuzirai!
Ndoa
yenu
na
ya
sekretari
zikaishia
bye-bye!
My
wife
amepack,
ameshaondoka!
Heshima
yangu
yote
town
imeporomoka!
Runda
niliyoinunua
sasa
imekuwa
mtu
anajua,
nimebaki
mkiwa
mbele
ya
Mungu.
Umevunja
viwili
vilivyosukwa
kwa
siri,
Messenger
gani
wewe
huna
hata
Why
did
you
do
that?
Mbona
umeleta
kilio
chini
ya
hii
Why
did
you
take
that
parcel
Ukaacha
dhoruba
imuangukie
mume
wake!
Messenger
umezua
balaa,
Umetupiga
dafrau,
(dafrau!)
Ndoa
mbili
umevunja,
kisa
kipeperushi
Why,
why,
messenger
why?
Machozi
Sawa...
nimekuachia
Nimekuachia
Mungu...
Huna
kazi,
nami
sina
mke.
Sekretari
naye
We
collapsed
the
empire.
Kazi
imeisha...
(Machozi
hayeshi...)