[male vocals] Studio
Clova
SAUNDE
Bolingo
ya
mama!
Ah
ooh,
mama
zetu,
tunawaimbia!
Maman
Riziki
Malambo
na
maman
Mwamini
NASANDUKU,
mama
zetu
wapendwa
Tuna
wa
tazama
kama
nyota
zinazoangaza
njia
zetu
Ingawa
tuko
mbali,
moyo
uko
karibu
na
nyinyi
kila
leo
Tunawajali
sana,
tunawasamini
kila
kukicha
Familia
Clovis
Mwenyezi
na
Brijitte
musaada
wako
hapa
Mwana
sheria
Matabishi
VALÉRI
manzaka
na
muke
wake
ARJANTINE,
tunaungana
kwa
upendo
huu
ili
tuwaoneshe
furaha
yakuwa
karibu
na
nyinyi,
tuna
jivuniya
nyinyi
kelele!
Oh
Maman
Riziki
na
maman
Mwamini,
nyinyi
ni
wenye
thamani
kubwa
Tunawaimbia
kwa
upendo,
nyinyi
ni
malkia
wetu
musiwe
na
kinyongo,
sisi
ni
watoto
wenu
daima
Tuko
mbali
lakini
tunawapenda
sana,
mama
zetu!
Matabishi
Valerie,
pamoja
na
Arjantine
Feza
Tunaungana
wote
kusema
nyinyi
ni
mama
wa
kweli
Pamoja
na
mwenzako
Bulenda
Mwamini
Nasanduku
Mnatuongoza
vizuri,
mnatupa
nuru
ya
maisha
Musiogope
maneno
ya
watu
kuwashimanga
yatapita,
hawajui
tunayopitia
Nyuma
kuna
mambo,
lakini
mbele
tuko
na
nyinyi
Sauda
maman
na
Armelle,
Abuba,
Ziada,
Rishe
na
wengine
tupige
kelele
kwa
sauti
kubwa
kwajili
ya
mama
zetu
vipenzi!
Oh
Maman
Riziki
na
maman
Mwamini,
nyinyi
ni
wa
thamani
kubwa
Tunakuimbia
kwa
upendo,
wewe
ni
malkia
wetu
Musiwe
na
kinyongo,
sisi
ni
watoto
wako
Tuko
mbali
lakini
tunawapenda
sana,
mama!
Mutuombee
kwa
Mungu,
tuweze
kufanikiwa
Ili
tuwaleye
vile
mulivyo
tulea
kwa
malezi
ya
kweli
Hakuna
aliye
kama
nyinyi,
mama
zetu
wa
thamani
Tunawavika
maua
leo,
tunawaheshimu
milele
Hatujawatupa,
na
wala
hatutawasahau
kamwe
Uvumilivu
wenu
ndio
nguvu
yetu
ya
kila
siku
Tunapambana
kwa
ajili
yenu,
tunajenga
heshima
Maman
Riziki
na
maman
MWAMINI,
nyinyi
ni
chimbuko
la
furaha
yetu
Tunashukuru
kwa
kila
hatua,
tunashukuru
kwa
kila
neno
yes.
Tuna
wa
tupiya
mauwa
mama
zetu
mololo!!
Oh
Maman
Riziki,
mama
wa
thamani
kubwa
Tunakuimbia
kwa
upendo,
wewe
ni
malkia
wetu
Usiwe
na
kinyongo,
sisi
ni
watoto
wako
Tuko
mbali
lakini
tunakupenda
sana,
mama!
Wa
toto
wetu
RICHARD,
TRIOMPHE
NA
RAPHAËL
wana
wasalimu
nyote,
Tunakupenda
sana,
mama
yetu
Riziki!
Wa
mama
juu!,
upendo
wetu
kwenu
haupimi
Wa
maman
mikono
juu!
Tutaonana
karibuni,
mama!
Baraka
zikufuate,
malkia
wetu
wa
upendo.