Sir
Nixy!
Mama Esther
Hii ni kwa ajili yako
Mama
Esther,
malkia
wangu
Wewe
Kila
siku
nakushukuru
Kwa upendo wako usio na kikomo
Ulinilea
kwa
mikono
yako
Ukanionyesha njia ya maisha
Sasa nakuimbia wimbo huu
Kwa
moyo
wangu
wote
Sweet
mother,
mama
yangu
Nakupenda
sana,
moyoni
mwangu
Mungu
akupe
miaka
mingi
Sweet
mother,
wewe
ni
kila
kitu
Mama Esther, star yangu
Nakubariki
Nakupenda
Nakubariki
Nakubariki
Sweet
mother,
Mama
na
milele
Sweet
mother