WCB! Twende!
Sauti ni moja, kiongozi ni kijana
Stephen Muthoka, mtetezi wetu
Bongo! Tamu!
Wakati umefika sasa mabadiliko ni lazima
Vijana kwa vijana tunasonga mbele na heshima
Stephen Muthoka ndiye jembe letu la nguvu
Mtetezi wa kweli anayetoa watu kwenye uvuvu
Somo ikiwa chafu ni yeye alisimama imara
Mtaro ikifungika ni yeye anayetafuta njia bora
Wafanyakazi wa hospitali wanalipwa kwa sauti yake
Anapigania haki, hatetereki hata kidogo mbele yake
Stephen Muthoka, mtetezi wetu wa kweli
Sauti ya kijana, tunayemwamini mtaani
Kura zetu zote ni kwa Stephen Muthoka
Ni yeye pekee anayeweza kutuvusha huku sasa
Stephen Muthoka, mtetezi wetu wa kweli
Sauti ya kijana, tunayemwamini mtaani
Ithekethini sasa wako na barabara mpya
Kitunini washapata yao, hakuna tena shida ya kupwaya
Sinai maji yanatiririka, kwausai darasa zimesimama
Basil na Matuu sasa wanaletewa maji kwa haraka sana
Clemo na Basil, viongozi wetu wa kupigiwa mfano
Tuwape nafasi wafanye kazi, waondoe hili gano
Magenz wamesema kura ni kwa Stephen Muthoka
Kaluluini wameamua, mabadiliko hayana shaka
Stephen Muthoka, mtetezi wetu wa kweli
Sauti ya kijana, tunayemwamini mtaani
Kura zetu zote ni kwa Stephen Muthoka
Ni yeye pekee anayeweza kutuvusha huku sasa
Stephen Muthoka, mtetezi wetu wa kweli
Sauti ya kijana, tunayemwamini mtaani
Wanabodaboda wote wamesema ni yeye tu
Wasanii wako imara, wako nyuma yake muda huu
Watoto wako shule, walimu wamesema ako sawa
Huyu ndiye kiongozi, huyu ndiye mwenye kutoa dawa
Akina mama tunasema, heshima yetu imerudi
Kijana jasiri, Stephen Muthoka ndiye mwenye kurudi
Hatutishwi na matusi yao, sisi tunaangalia mbele
Kura zetu ni kipaumbele, tunachagua mwenye kweli na uwele
Maendeleo kwa wote, kutoka vijijini hadi mjini
Stephen Muthoka, jina lako litadumu daima ndani ya imani
Twende! Mbele! Kazi iendelee!
Stephen Muthoka, mtetezi wetu wa kweli
Sauti ya kijana, tunayemwamini mtaani
Kura zetu zote ni kwa Stephen Muthoka
Ni yeye pekee anayeweza kutuvusha huku sasa
Stephen Muthoka, mtetezi wetu wa kweli
Sauti ya kijana, tunayemwamini mtaani
Stephen Muthoka, sauti ni moja
2027 tunasema ni yeye pekee
Mtetezi wetu, twende!
Bongo! Tamu! Poa sana!