Frobits
🎵 A song made on Frobits

Baraka za Familia

Peliwaka Kuku Center · 🇹🇿 Tanzania
0:000:00
Download Remix
Make your own song
Continues securely on the web
Lyrics

[female vocals] Clara,

Clara,

Clara

usiyelala

katika

maisha.

Umekuwa

Siri

nzuri

ya

thamani.

Daima

uwe

mwema...

Mungu

akuongoze.

Ustaadh

Man,

hekaheka

zako

zaleta

amani,

changamoto

wazishinda.

Kaka

mwema...

mpambanaji

na

mcheshi

daima.

Mungu

awe

nawe

Kila

hatua...

Pacha

wako

Tausi

ni

mwenye

huruma,

upendo

mwingi.

Heshima

kwako

Tausi

ni

tunu

Bora,

tabasamu

lisilokauka.

Ubarikiwe ..

Baba

la

Baba,

Shehe

Junaidi,

kamanda

WA

familia

na

mwana

mwema.

Sura

ya

baba

na

Babu...

Wewe

ni

Nuru

njema,

upendwaye

na

wazazi

wako.

Twakupenda

Junaidi,

wawapenda

wanetu..

Mkue

vyema,

Inshallah.

Tulituli

imekaa

vyema,

imekaa

poa..

Furaha

yetu

More songs by Peliwaka Listen to songs created by others
FROBITS