[male vocals] Sisi
St.
Joseph's
Boys
Kitale
pamoja
na
Chief
Principal
wetu
Bwana
Nabungolo
tunakaribisha
madada
zetu
wa
Shule
ya
Sacred
Heart
Mukumu
Girls,
chini
ya
Chief
Principal
wao
Sister
Jane
mmbone
Wamukoya.
Kwa
misa
takatifu
tarehe
Nne
Oktoba 2026
hapa
kwetu
Jobo.
Tutakuwa
tunasherehekea
Mtakatifu
Francisco
wa
Asis
shujaa
wa
mazingira.
Hii
siku
Sister
Eunice
wa
Jobo
na
wenzake
watachukuwa
nadhiri
upya.
Mimi
kama
Le
Pasteur
Nyukuri
Lukhendu
nashukuru
Bishop
Wetu
Juma
Adonya
na
Father
wetu
Odongo
Kwa
maombi
Yao
kwetu
kama
Shule
ya
Jobo.
Form 4,
Form 3
na
Grade
ten
nawapa
heko
Kwa
nidhamu
yenu.
Nyinyi