[male vocals] Oh
STUDIO
CLOVIS
SONDE,
kusifu
kazi
ya
mashujaa
wetu!
Dr.
Nyembamba,
Dr.
Claude,
heshima
kwenu!
PNCPS
SUD-KIVU
JUU
SANA.
Clovis
Mwenyezi
Mushipi
ninaimba
leo
Kutaja
majina
yenu,
ni
furaha
na
cheo
Dr.
Nyembamba
Kyembwa
Eugène,
mwalimu
wa
kweli
Ulianza
kazi
ya
afia
tangu
zamani,
mganga
mkuu
wa
mitaani
Ulipambana
kwa
bidii,
afya
ya
wananchi
Leo
wewe
ni
heshima.
Dr.
Nyembamba
na
Dr.
Claude,
ni
mashujaa
wetu
Kwa
kazi
yenu
kubwa
Sud-Kivu
tunawashukuru
AFIA
Kivu
ya
Kusini,
mumeiletea
nuru
Ninawaimbia
kwa
upendo,
muko
juu
sana!
Dr.
Claude
Bahizire,
wewe
ni
zaidi
ya
baba
Kazi
yako
inang'ara,
kila
mtu
anaijua
Habari
za
afya
zinasikika
inchini
kote
Kupitia
usimamizi
wako
Coordination
wa
habari
za
afya
jimbo,
tunajivunia
wote
Wewe
ni
noma,
unashika
nafasi
ya
juu
Dr.
Claude,
tunakupenda,
heshima
yako
ni
kuu.
Dr.
Nyembamba
na
Dr.
Claude,
ni
mashujaa
wetu
Kwa
kazi
yenu
kubwa
Sud-Kivu
tunawashukuru
AFIA
Kivu
ya
Kusini,
mumeiletea
nuru
Ninawaimbia
kwa
upendo,
muko
juu
sana!
Kupitia
AFIA,
maisha
yanabadilika
Kazi
yenu
njema,
kamwe
haitasahaulika
Dr.
Eugène,
mwalimu
na
mushauri
mwema
kwa
mambo
ya
afya
Dr.
Claude,
msimamizi
mwenye
busara
Nyinyi
ni
nguzo,
nyinyi
ni
fahari
yetu!
Clovis
anashuhudia,
juhudi
zenu
za
kweli
Population
ya
Congo
nzima
inajua
wazi
Sud-Kivu
inastawi
kwa
sababu
ya
mikono
yenu
Tunatamani
muendelee,
Mungu
awape
nguvu
Tunashangilia
majina
yenu
leo
kwa
wimbo
huu.
Dr.
Nyembamba
na
Dr.
Claude,
ni
mashujaa
wetu
Kwa
kazi
yenu
kubwa
Sud-Kivu
tunawashukuru
Jimboni
Kivu
ya
Kusini,
mumeiletea
nuru
Ninawaimbia
kwa
upendo,
muko
juu
sana!
Wazazi
walio
wazaa
wa
barikiwe
kweli.
Dr.
Nyembamba,
Dr.
Claude,
tunawaheshimu!
Kazi
yenu
ni
nuru,
Sud-Kivu
inawapenda!
Ah
ooh!
Mashujaa
wa
afya!
Bolingo!
Muko
juu!