[male
vocals] [
Intro] (
Daddy
happy) (
This
is
simba
sports
club) (
mama
jojo,
shefu
omary,
shefu
jumanne
bila
kumsaha
zamda
hamadi ) (
hii
ni
kwaajili
ya
wanasimba
wote ) (
Eti
yanga
hii
unaifungajee?) (
Unaifungajee?)
Mtanii
wapi
mariamu
mtanii
[Verse 1] Eti
yanga
hii
unaifungajee
Mtanii
wapi
mariamu
mtanii
[Verse 1] Eti
yanga
hii
unaifungajee
Unaifungaje
vipi
tena
mmefungwajee
mkabeni
kwanza
mpanzu
pumbavu
zenu
Simba
ya
Mpanzu
unaizuiajee
wapi
kasura
mpe
salama
mama
jifiti
mwambie
Hapa
Mpanzu
pale
Oura
kule
Libase
mabeki
zake
wamkabe
nani
maana
sio
boka
wala
baka
hawawezi
kuwakaba
hao
mabwana
Huyo
Chilambo
hajulikani
anachezaje
Beki
au
kiungo
ama
mshambuliaji
mcheze
Nyuma
yupo
katikati
unamkuta
Kabla
ya
kumzuia
kashafika
mbele
ya
box
la
wapinzani
anatoa
pasi
kwa
mpanzu
kabla
ya
kufika
kwa
mpanzu
pasi
inaelekezwa
kwa
Chama
hapo
nenda
taratibu
maana
unaweza
pata
aibu
ya
mwaka
Ukimfuata
hovyo
utaambulia
tobo
Utadhalilishwa
sana
na
unaweza
vunjika
nyonga
bure
Kagoma
amegoma
kweli
kupitwa
kizembe
Naona
pira
biriani
limerudi
wapinzani
wanatafutana
hapa.
[Chorus] Eti
yanga
hii
unaifungajee
yangaa
hii
unaifungajee
Vipi
leo
mmefungwajee
jiulizeni
Simba
ya
Mpanzu
unaizuiajee
Unaizuiajee
Unaizuiajee
Hii
ndio
Simba
tunayoijua
simba
ya
asali
na
tende
Kwa
huu
moto
hatushikiki
wa
hatubabaishwi
hawa
vyura
wa
jangwani
Eti
yanga
hii
unaifungajee
unaifungajee
haya
sasaa
Simba
ya
Mpanzu
unaizuiajee
Huyo
Mpanzu
unamzuiajee.
[Verse 2] Toure
askari
wa
doria
muda
wote
Yuko
bize
kuangalia
maadui
wanapita
wapi
Hapa
unakutana
na
beki
mtanashati
Sura
ya
upole
matendo
ya
kikatili
Anaitwa
Rushain
anakaba
na
kutoa
pasi
Anamgusia
Neo
Maema
kwa
ustadi
Maema
anampa
Jabari
pasi
elekezi
kabisa
Jabari
anasogea
anaitanguliza
mbele
kidogo
Anaitanguliza
kwa
Libase
speed
mashine
Libase
anatanua
uwanja
anaimwaga
kati
Inamkuta
Chama
kwake
Mpanzuuuuu
Goooo....
Hii
ni
simba
braza
weka
mbali
hawa
utopolo
Mchezo
wa
soka
unahitaji
akili
nyingi
Sio
kupiga
kelele
bila
kuwa
na
mbinu.
Pumzika
kwa
amani
mzee
mpili
[Chorus] Eti
yanga
hii
unaifungajee
unaifungajee
Simba
ya
Mpanzu
unaizuiajee
unaizuiajee
Hii
ndio
Simba
weka
mbali
na
utopolo
Sisi
ni
moto
hatushikiki
wala
hatuchekeshi
Eti
yanga
hii
unaifungajee
Unaifungaje
kweli
unaifungajee
Simba
ya
Mpanzu
unaizuiajee
unaizuiajee.
[Bridge] Tunacheza
soka
safi
tunapiga
pasi
za
kutosha
tunakubonda
huku
tuna
kupapasa
Wapinzani
wanahaha
wanashindwa
kuzuia
Simba
ya
Mpanzu
ni
balaa
mtaani
Ona
pasi
za
kifuani
ona
pasi
za
miguu
Soka
ni
sanaa
soka
ni
burudani
Simba
imetulia
Simba
inafurahisha
Utopolo
wameishiwa
hawana
la
kusema.
[Verse 3] Kila
kona
ya
uwanja
ni
shughuli
pevu
Maema
anadhibiti
eneo
la
kati
Chama
anapanga
mipango
ya
ushindi
Mpanzu
anamalizia
kazi
kwa
ustadi
Ni
mwendo
wa
goli
mpaka
mwisho
wa
mechi
Watazamaji
wanashangilia
kwa
nguvu
Hii
ndio
Simba
ya
kimataifa
bwana
Hamuwezi
kutuzuia
hata
kwa
dawa
Endeleeni
kuota
sisi
tuko
kileleni
Simba
daima
mbele
daima
mbele.
[Chorus] Eti
yanga
hii
unaifungajee
Unaifungaje
kweli
unaifungajee
Simba
ya
Mpanzu
unaizuiajee
unaizuiajee
Hii
ni
Simba
braza
usiifananishe
gongo
wazi
Sisi
ni
moto
wa
kuotea
mbali
hatushikiki
wala
hatuchekeshi
Eti
yanga
hii
unaifungajee
Vipi
leo
mmefungwajee
Simba
ya
Mpanzu
unaizuiajee
Simba
ya
Mpanzu
unaizuiajee
Huyo
Mpanzu
unamzuiajee.
[Verse 2] Toure
askari
wa
doria
muda
wote
Yuko
bize
kuangalia
maadui
wanapita
wapi
unaizuiajee. [
Outro] (
Simba
ya
Mpanzu) (
Weka
mbali) (
Mambo
ya
utopolo
tuyaache) (
Sisi
tunacheza
soka) (
Haya
haya
haya) (
Simba
damu
damu!) (
Tunaenda
zetu
kileleni) (
Mpanzu
ndani
ya
nyumba!) (
Soka
safi
soka
burudani) (
Salute!)