[male vocals] Kwaheri
ya
kuonana.
Kwaheri
Mama
Sarah
Philip
Otundo.
Umesha
maliza
kasi
Tunakuagaa
wewe
shujaa
wetu,
Mama
wa
nguvu
Mama
mchaa
Mungu,
dada
katika
yesu,
Mama
Sarah
Philip
Otundo.
Mama
mchapa
kazi.
Mama
sarah
Otundo
Umepumzika
Watu
wote
wa
Matioli
community
wanasema
kwaheri
mama
Walikupenda
lakini
Mungu
alikupenda
zaidi.
Ulihudumia
Mungu
Kwa
roho
safi.
Ulitufunza
na
kutuhubiria
maneno
ya
busara
kanisani.
Kanisa
la
Matioli
church
of
God
limepoteza
shujaa
Sarah
Philip
Otundo
pumzika
salama
Watoto
wako
wote
wanakushukuru
Kwa
kuwalea
vyema
Kwa
njia
ya
kikristo.
Aggrey
kijana
wako
Aggrey
anakutakia
mema.
Aggrey
anasema
mama
lala
salama.
Jacton,
kijana
jacton
anasema
asante
mama
Kwa
kazi
zuri
ya
kumlea
na
lala
salama
mama.
Cleo,
yaani
cleopus
anakuushukuru
Kwa
kumlea
vyema.
Cleopus
akasema
mama
tutakumiss
Sana.
Asante
mama.
Bev,
Beva ,
Beva
naye
animba
mama
niwewe
tu
mama.
Beva
ana
kuombea
Mungu
aiweke
roho
yako
pema
peponi.
Joan
msichana
wako
mrembo
Joan.
Joan
anakushukuru
Kwa
kumlea
vyema
Kwa
muda
wote
muliokuwa
pamoja.
Joan
anasema
mama
ni
wewe
Tu
mama.
Mama
lala
salama
ndivyo
anakuombea
joan.
Best
friend
Frank
yaani
Franklin
hajakusahau.
Frankline
anakutakia
mema
huko
uliko.
Mama
wetu
mpendwa
Sarah,
Sarah
Philip
Otundo,
mama
mkarimu,
mama
roho
safi,
mama
wafuraha
nyingi,
mama
mpenda
wageni
na
watoto,
mama
mwenye
Huruma
nyingi.
Mama
Sarah
pumzika
na
mungu
aweke
roho
yako
Hadi
tutakapo
onana