(Eeh baba! Twende!)
(Miomboni kumedamshi, wote njooni!)
(Mchinado, manyema records, safi!)
Usukumani oyee, kila mtu ajitokeze
Miomboni utamuona, machiajitenga kote
Mbwiliza, Evalisti, na Pesanae wamo
Antony Magunya yupo, Jumalyongola mambo
Parua na Asumani Kabwali wamefika
Mwanangusa na wengine wengi wamefika
Njoo ujionee ziwa Sagara inang'ara
Shule inajengwa, elimu moto inawaka!
Miomboni kumedamshi, sio kitoto, sio mchezo
Ngoma inavuma, wote mje kwa mdundo
Bahati Kabuze, Kalee, cheza kwa furaha
Miomboni twende, ni raha juu ya raha!
Abdu Mchina, mie Mchina, Mchinado ndio mimi
Ujakosea kuniita utamuona mbuguzi wa mtaani
Utamuona Kisomba, pia Usinge Mitimitano
Masta Plastiki njooni, mambo ni moto sana
Mbunge wetu Joseph Enoki Tama sikia
Barabara yetu mbovu, tuletee matengenezo sasa
Awe Nzuburaa, hapa ni Mchinado pekee
Manyema Records, ndani ya nyumba, amini ivoo!
Miomboni kumedamshi, sio kitoto, sio mchezo
Ngoma inavuma, wote mje kwa mdundo
Bahati Kabuze, Kadee, cheza kwa furaha
Miomboni twende, ni raha juu ya raha!
(Safi! Twende!)
Kila kijana, kila mzee, amka!
Tunajenga mji wetu, tunajenga maisha!
(Bongo! Kali! Eeh baba!)
Miomboni ni moto, Mchinado amedamshi
Manyema Records, tunazidi kusonga
Asante sana, tuko pamoja
(Twende! Safi! Bongo! Kali!)