[male vocals] Asante
Bwana,
utukufu
ni
wako
Sifa
zote
zikurudie
wewe,
Bwana
Kuna
nyakati
nilikata
tamaa
Nilikosa
tumaini
kabisa
ndani
yangu
Nikatamani
kurudi
nyuma,
ndiyo
mimi
Kama
wana
wa
Israel
wakati
wa
Musa
Kumbe
sikujua
umeandaa
nchi
ya
mema
Kaanani
yenye
utajiri
wa
maziwa
na
asali
Shetani
alitumia
mwanya
wa
magumu
kunishawishi
Ila
sikujua
kwako
kuna
mema
ambayo
hayaishi
Nashukuru,
kwakuwa
umenichagua
Nasema
asante,
kwakuwa
umenipendelea
Nashukuru,
kwakuwa
umenichagua
Nasema
asante,
kwakuwa
umenipendelea
Asante
Bwana,
asante,
aaasante
asantee
Asante
Bwana,
asante,
aaasante
asantee
Asante
Bwana,
asante,
aaasante
asantee
Asante
Bwana,
asante,
aaasante
asantee
Upendo
wako
wadumu
hauna
kikomo
Umejawa
utajiri
mwingi
usio
na
kipimo
Leo
niko
ndani
ya
pendo
lako
Kama
ulivyoahidi
hutoniacha
peke
yangu
Nafaidi
ahadi
zako,
nashukuru
dhambi
nimeacha
Heshima
na
utukufu
ni
vyako
Nanawili,
nawaka,
umeniosha
kwa
damu
yako
Nashukuru,
kwakuwa
umenichagua
Nasema
asante,
kwakuwa
umenipendelea
Nashukuru,
kwakuwa
umenichagua
Nasema
asante,
kwakuwa
umenipendelea
Asante
Bwana,
asante,
aaasante
asantee
Asante
Bwana,
asante,
aaasante
asantee
Kuna
waliojaribu
kunipoteza (
Hallelujah!)
Ila
neema
yako
yanitetee (
Praise
Him!)
Kuna
waliodhani
nitakuacha
Utamu
wako
ndo
wakolea (
Glory!)
Kwasababu
umenichagua
sitakuacha
Maana
wewe
ndo
unayenilinda
Ndiyo,
wewe
ndo
unayeniongoza
Yes
Lord,
Amen!
Umenitoa
mbali,
ukanivusha
maji
mengi
Umenipa
uzima,
ukanipa
tumaini
jipya
Sitaogopa
maana
wewe
uko
nami
Umenifanya
kuwa
kichwa
na
si
mkia
Kila
hatua
ninayopiga,
wewe
unaniona
Asante
kwa
wema,
asante
kwa
neema
Asante
kwa
kila
kitu
unachotenda
kwangu
Nashukuru,
kwakuwa
umenichagua
Nasema
asante,
kwakuwa
umenipendelea
Nashukuru,
kwakuwa
umenichagua
Nasema
asante,
kwakuwa
umenipendelea
Asante
Bwana,
asante,
aaasante
asantee
Asante
Bwana,
asante,
aaasante
asantee
Asante
Bwana,
umenipendelea
Asante,
ni
wewe
tu,
ni
wewe
tu
Sifa
zote
ni
zako,
milele
na
milele
Sifa
zote
ni
zako,
milele
na
milele
Amen,
Amen,
Amen!