[male vocals] Leleleeeeeeeeee....
lalalalaaaaaa...
hureeeeeeeee...
chereko
chereko
Leo
mwana
kazaliwa...
mtoto
mzuri
na
mrembo
sana...
Kwa
sura
na
roho
yake
pia...
anaitwa
Janath...
Happy
birthday
Janath...
Happy
birthday
mama
D,
boss
lady,
mama
mtu ..
mama
la
mama,
Boss
wa
NAI
Bakery
ukue
vyema
kipenzi...
Mungu
kakuleta
duniani
kwa
kusudi
maalumu...
pambana
mama
ili.
kusudi.
la
Mungu
likamilike
maishani
mwako.
Leo
ni
fursa
na
nafasi
ya
kufurahia
birthday
Yako...
Jirani,
majirani
wakupenda
na
wakuombea
pia.
Wateja
wa
NAI
Bakery
daima
wanapenda
kuwa
nawe
na
kukuonesha
furaha.
Tabasamu
lako
ucheshi
na
ukarimu
wako
ndio
nguzo
kwako
best.
Leo
twaimba...
Werereere...
talaliliaaa...
pampmapmapppp....
chiririuiuii...
HHappy
birthday
darling,
happy
birthday
Katoto..
ukue
vyema
sana
Leo
na
daima.
Kipenzi
cha
babana
mama...
wanao
wakupenda
sana...
ba
mtu
anakujali.
sana
tunza
familia
Yako
Leo
na
kesho
daima
safari
Bado
hata
kijacho
anakupenda
mpende
pia...
anafurahi
kuzaliwa
kwako
ili
umpokee
vyemaa...
hahaaaa...
happy
birthday
Janeth,
mama
D,
best
nankipenzi
chetu....
Happy
birthday
Jirani,
boss
lady
wa
NAI
Bakery.....
Twamuomba
Mungu
akutumze
kwa
ajili
ya
wote
uwapendao
na
wakupendao..
Mungunakusimamie
katika
kazi
na
safari
yako...
Happy
birthday
ma
mtu...
happy
birthday
kipenzi
usiye
na
BAYA
sifa
nyingi
nzuri
twakupa
wewe
tukimshukuru
Mungu...
Cheers...
happy
Twakupenda
Leo
na
daima...
Papaa
pia
anakupenda
sana...
Love
you
on
your
special
day...
Mmmmwaaaaa...
Happy
birthday
Janath