Frobits
🎵 Wimbo uliotengenezwa kwenye Frobits

Maji ya Uzima

barakalaurence762 · 🇰🇪 Kenya
0:000:00
Pakua Remix
Tengeneza wimbo wako mwenyewe
Inaendelea kwa usalama kwenye wavuti
Maneno

[male

vocals]

[Verse 1] Saa

sita

mchana

jua

kali

la

mwangaza

Yesu

amechoka

kisimani

ameketi

Akaja

mwanamke

mtungi

amebeba

Kichwani

ana

shida

moyoni

ana

giza

Akatafuta

maji

ya

kukata

kiu

chake

Akatafuta

maji

ya

kukata

kiu

chake (

Moyo

wake

ulikuwa

na

kiu

ya

kweli)

[Chorus] Nipe

maji

ninywe

akasema

Mwokozi

Mwanamke

akashangaa

wewe

ni

Myahudi

Yesu

akajibu

ungalijua

siri

Ungaliomba

maji

ya

uzima

wa

milele

Maji

yaliyo

hai

yanayobubujika (

Yanabubujika,

yanabubujika!)

[Verse 2] Nenda

kamwite

mumeo

Yesu

akamwambia

Sina

mume

bwana

mwanamke

akalia

Yesu

akajibu

kweli

umesema

Waume

watano

wote

walipita

Hata

huyu

wa

sasa

sio

mume

wako

Hata

huyu

wa

sasa

sio

mume

wako (

Yesu

anajua

kila

siri

ya

maisha!)

[Chorus] Nipe

maji

ninywe

akasema

Mwokozi

Mwanamke

akashangaa

wewe

ni

Myahudi

Yesu

akajibu

ungalijua

siri

Ungaliomba

maji

ya

uzima

wa

milele

Maji

yaliyo

hai

yanayobubujika

[Bridge] Oh,

neema

inatiririka (

Inatiririka!)

Oh,

neema

inatiririka (

Inatiririka!)

Upendo

wa

Mungu

unaponya (

Unaponya!)

Chukua

maji

ya

uzima,

usiendelee

kuumia

Yesu

ndiye

njia,

yeye

ni

kweli

na

uzima

[Verse 3] Mtungi

akauacha

akakimbia

mjini

Njooni

mkamwone

nabii

kisimani

Aloniambia

yote

ya

maisha

yangu

Masihi

amefika

mwokozi

wa

watu

Sikari

ikajaa

sifa

na

wokovu

[Chorus] Nipe

maji

ninywe

akasema

Mwokozi

Mwanamke

akashangaa

wewe

ni

Myahudi

Yesu

akajibu

ungalijua

siri

Ungaliomba

maji

ya

uzima

wa

milele

Maji

yaliyo

hai

yanayobubujika

[Verse 2] Nenda

kamwite

mumeo

Yesu

akamwambia

Sina

mume

bwana

mwanamke

akalia

Nyimbo zaidi za barakalaurence762 Sikiliza nyimbo zilizotengenezwa na wengine
FROBITS