[male
vocals]
[Intro] Eish,
leo
tunasherehekea!
Mama
Jojo,
ni
siku
yako,
asambe!
[Verse 1] Mama
Jojo,
najua
leo
ni
siku
muhimu
sana
Katika
maisha
yako,
wewe
ni
kipenzi
changu
pia
ni
furaha
yangu
Umeongeza
namba
mpya
katika
umri
wako,
ni
mwaka
mwingine
tena
umeingia
Sio
kwa
ujanja
wako,
bali
Mungu
kakuwezesha
kuifikia
hii
siku
Kuna
wenzio
walitamani
tarehe
kama
ya
leo
nao
washeherekee
na
famili
zao
Ila
hawapo
tena
katika
uso
wa
hii
dunia
tena,
lakini
wewe
kwa
mapenzi
ya
mungu
unasheherekea
kipenzi
changu
mie
[Chorus] Happy
birthday
Mama
Jojo,
leo
tunasherehekea
kwa
Furaha,
amani
na
upendo
kwasababu
ya
upendo
wako
kwetu,
pia
leo
tunacheza
kwa
shangwe
kwasababu
wewe
ni
wa
kila
mtu
una
moyo
mzuri
kwa
kila
mtu
ni
mcheshi
kwa
kila
mtu
kwa
ndugu,
marafiki
na
majirani
pia
Kata
keki
kuonyesha
ishara
njema
ya
upendo
kwetu
sote,
wote
tunaimba
na
kucheza
kwaajili
ya
upendo
kwako
Siku
yako
leo
ya
kipekee,
tunakupa
sifa
tele (
Yebo!
Sho!
Aweh!)
[Verse 2] Wengine
wako
hospitalini,
wanapambania
afya
zao
Ila
wewe
umebarikiwa
kufika
salama
kabisa ,
ni
wakati
wa
kufurahia
na
kumshukuru
mungu
kwa
wema
wake
kwako
Mpigie
mama
hawa
simu,
umshukuru
kwa
kukuleta
duniani
na
kukulea
katika
maadili
mazuri
ya
kuwa
kivutio
kwa
kila
mtu
Pia
dhidi
kumwombea
baba
hawa
aendelee
kupumzika
kwa
amani
mahala
pema
peponi
Alikuwa
baba
bora,
na
alikuombea
na
kutarajia
mengi
mazuri
kutoka
kwako
ila
ndiyo
hivyo
kazi
ya
mungu
haina
makosa
kwa
pamoja
tunamwombea
aendelee
kupumzika
na
mungu
ampunguzie
adhabu
ya
kaburini
[Chorus] Happy
birthday
Mama
Jojo,
tunasherehekea
Furaha
na
amani,
leo
tunacheza
Kata
keki,
wote
tunaimba
kwa
upendo
Siku
yako
ya
kipekee,
tunakupa
sifa
tele (
Sharp
sharp!
Let's
go!)
[Bridge] Najivunia
kuwa
karibu
yako,
wewe
ni
fahari
yangu
Pia
ni
wa
thamani
mno
kwangu,
Umekuwa
faraja,
na
nuru
katika
maisha
yangu
Tunakula,
tunakunywa,
na
kufurahi
kwa
pamoja
na
kuonyesha
Upendo
wetu
kwako,
tunakupenda
na
tunakutakia
kila
la
kheri
kipenzi
chetu,
dada
yetu,
rafiki
yetu
na
jirani
yetu
[Verse 3] Umejawa
na
upendo
kwa
jamii
yote
inayokuzunguka,
kwangu
wewe
ni
lulu
Maisha
yako
yajae
baraka,
Mungu
atende
miujiza
mikuu
Twende
mbele,
tusonge
mbele
kwa
shangwe
na
vigelegele
Leo
ni
siku
ya
Mama
Jojo,
tunakupa
shukrani
tele
[Chorus] Happy
birthday
Mama
Jojo,
tunasherehekea
Furaha
na
amani,
leo
tunacheza
Kata
keki,
wote
tunaimba
kwa
upendo
Siku
yako
ya
kipekee,
tunakupa
sifa
tele
[Outro] Happy
birthday
kwako,
Mama
Jojo
wangu
Furaha
yako
ni
yangu,
asambe! (
Yebo!
Sharp
sharp!
Aweh!)
Endelea
kung'aa,
maisha
marefu
kwako. (
Yebo!
Sharp
sharp!
Aweh!)
Endelea
kung'aa,
maisha
marefu
kwako.