Frobits
🎵 A song made on Frobits

Usiwaamini

Adrian · 🇰🇪 Kenya
0:000:00
Download Remix
Make your own song
Continues securely on the web
Lyrics

AdrianJames

on

the

track

Hii

dunia

so

mbaya,

ni

watu

ndo

wabaya,

Hii

dunia

so

mbaya,

na

na

na

na

One,

be

warned,

don't

trust

everyone,

Two,

kuna

watu

na

viatu,

roho

za

vyatu,

hawana

utu,

So

Three,

usi-feel

so

free,

ku-share

everything

about

your

well

being,

to

every

human

being,

Coz

Four,

most

people

are

evil,

so

above

all,

protect

yo

soul,

And

Five,

love

your

life,

be

happy

to

be

alive,

Because

Six,

some

wana

wish

uwe

mso-sick,

ili

waku-fit

in

deep,

six

feet,

utaambiwa

rest

in

peace

Haaah!

Demmmh!

Kuna

watu

tu

wabaya,

wana

wivu

tu

na

roho

mbaya

Haijalishi

nini

utafanya,

wataishi

kukutafuta

Kuna

watu

tu

wabaya,

wana

wivu

tu

na

roho

mbaya

Haijalishi

nini

utafanya,

wataishi

kukutafuta

Seven,

hii

life

si

heaven,

so

wewe,

usiwe

Jonnah,

uka-change

course

ya

Nineven,

Eight,

wacha

wa

celebrate

your

mistake,

it's

never

too

late,

to

become

great,

yeah

Nine,

usi-waste

time,

huna

nine

lives,

you

only

live

once,

so

make

your

life

shine,

make

it

a

dime

And

Ten,

don't

mind

them,

wacha

wakuseme,

on

their

mind,

be

the

unforgotten,

the

begotten,

Hii

dunia

so

mbaya,

ni

watu

ndo

wabaya,

Hii

dunia

so

mbaya,

na

na

na

na

Haaah!

Demmmh!

Kuna

watu

tu

wabaya,

wana

wivu

tu

na

roho

mbaya

Haijalishi

nini

utafanya,

wataishi

kukutafuta

Kuna

watu

tu

wabaya,

wana

wivu

tu

na

roho

mbaya

Haijalishi

nini

utafanya,

wataishi

kukutafuta

AdrianJames

no

blames,

no

games

Heeey,

be

wise,

open

your

eyes

Wanajifanya

family,

kumbe

enemies

Kikulacho,

ki

nguoni

mwako

Rafiki

yako,

ndie

adui

yako

Be

Jesus,

kill

them

with

kindness

Wacha

kulipiza,

jifanye

huoni

blindness

And

don't

be

too

nice,

to

everybody

please

Wengine

wasalimie

to

hi?

Na

ujipe

shughli

Huwezi

pendwa

na

kila

mtu

we

si

pesa,

Hii

dunia

so

mbaya,

ni

watu

ndo

wabaya,

Hii

dunia

so

mbaya,

na

na

na

na

Haaah!

Demmmh!

Kuna

watu

tu

wabaya,

wana

wivu

tu

na

roho

mbaya

Haijalishi

nini

utafanya,

wataishi

kukutafuta

Kuna

watu

tu

wabaya,

wana

wivu

tu

na

roho

mbaya

Haijalishi

nini

utafanya,

wataishi

kukutafuta

Hii

dunia

so

mbaya,

ni

watu

ndo

wabaya,

Hii

dunia

so

mbaya,

na

na

na

na

Monta

santa

lanta

More songs by Adrian Listen to songs created by others
FROBITS