Chituz.......
*JOSEPH AMALA ODIRA SIMBA*
*
Lalallalalala,.......
Lelelelelele...........
Yayayayayaya.......
(Violin, and guitar)
Leo ni siku ya Simba kunguruma,
Hangurumi kuwa anashutuma,
Bali Simba Leo anavuma,
Kwakuwa Moto WA T.S.C sasa ameuzima,
Mchapa KAZI Amala Odira,
Kasimamisha Mpira.
Mpira WA Ufunzaji!
BARAKA twakutakia- Joseph Amala Odira.
Joseph alizaliwa na Mzee John Odira,
Mzee aliyejua kupima vyema dira,
PAMOJA na Mama Joyce Adhis-Nyakombewa,
Mtoto mwema kweli walipewa,
Odira Simba analindwa na Jane Akinyi Nya Kanyingoro,
Akinyi hajawahi kumlisha Simba kiporo,
Bila kumsahau,
Arnolda Anyango Nyagosito,
Naye alihakikisha Simba Amelinda wake uzito,
Walimpitisha Kila sehemu si maziwa Hadi mito!
Leo ni siku ya Simba kunguruma,
Hangurumi kuwa anashutuma,
Bali Simba Leo anavuma,
Kwakuwa Moto WA T.S.C sasa ameuzima,
Mchapa KAZI Amala Odira,
Kasimamisha Mpira.
Mpira WA Ufunzaji!
BARAKA twakutakia Joseph Amala Odira.
Watoto wako Kaka Simba,
Wengine walilipiga dimba,
Shuleni walibukua Hadi vyuo vikuu,
Kwa hakika Hizo ni baraka Kutoka juu,
Wamebarikiwa kazi za mikono Hadi pia miguu,
Odira Amala ulichapa KAZI ukawa Mwalimu Mkuu,
Sofa zako zapepea ziko juu!
Wanao Odira wanakushabikia,
Mami,Mano na Migel-wamempenda Baba,
Maryanne na Mane-Wanakupenda si Haba,
Brian, Tyra,na Nikiti- Wanampenda Simba.
Aroko asiyependa chokochoko,
Wala zile kelele za mbwa Koko,
Bali za Koko la maembe na sembe alikula akimsifu Babake Simba.
Leo ni siku ya Simba kunguruma,
Hangurumi kuwa anashutuma,
Bali Simba Leo anavuma,
Kwakuwa Moto WA T.S.C sasa ameuzima,
Mchapa KAZI Amala Odira,
Kasimamisha Mpira.
Mpira WA Ufunzaji!
BARAKA twakutakia Joseph Amala Odira.
Joseph Amala Odira,
A.K.A Simba Marara,
Mkono wako WA ufunzi uligusa shule ya Manera,
Si Manera Tu Bali pia Majango na Memba,
Ama kweli waliitambua KAZI ya Simba.
Huko Konjiko na hata Got Bondo,
Uliwafanya Wana wakafuata mkondo,
Simba ulijulikana Kwa kuwapa walimu Bondo,
Bondo la UGALI BILA kuweka yeyote kando,
Lwak Girls sofa zako zilisikika Kwa hakika!
Mazuri ulifanya walimu waliitika!.
Leo ni siku ya Simba kunguruma,
Hangurumi kuwa anashutuma,
Bali Simba Leo anavuma,
Kwakuwa Moto WA T.S.C sasa ameuzima,
Mchapa KAZI Amala Odira,
Kasimamisha Mpira.
Mpira WA Ufunzaji!
BARAKA twakutakia Joseph Amala Odira.
Walimu WA Manera -Watakumiss,
Wema walk daima Kwa Mioyo umeipachika,
Rafiki yako Kaka Onam Zakayo- Atakukumbuka!
Naibu wako Profesa- Atakukumbuka
Walimu wote WA Manera -Watakumiss
Simba kweli wewe ni Marara.
Simba utapata muda na rafikizo waliokutangulia kung'atuka.
Si Sila Ogada
Si James Ogejo
Si Kaka AREK Fire!
Essau Ndenda
Hao ni marafiki,
Wala si wanafiki,
Leo ni siku ya Simba kunguruma,
Hangurumi kuwa anashutuma,
Bali Simba Leo anavuma,
Kwakuwa Moto WA T.S.C sasa ameuzima,
Mchapa KAZI Amala Odira,
Kasimamisha Mpira.
Mpira WA Ufunzaji!
BARAKA twakutakia Joseph Amala Odira.
Joseph Amala Odira,
Hii Ngoma ni YAKO,
Hebu Kula hii Ngoma.
(Danceble music,instrumentals, very nice speed above 100dbs that can be danced)
Simba, Simba, Simba,
Simba Janyadhi
Simba Jasunga
Simba Jatich matek!
Simba mwenye tadi na Inda,
Nani kama wewe Odira,
Mzee asiyekuwa na hasira,
Mzee mwenye hekima na majira,
Nduguzo uliwatafutia Ajira,
Simba kang'atuka,
Odira Kachomoka,
Yususufu kadondoka,
Amala T.S.C kilele sasa umefika!