Jiji
la
leo
lilikaba
hadi
pumzi
bana.
Kazi
ngumu,
mtaani
joto...
nimechoka
FEMALE
VOICE
:
Weee
mume
wangu!
Karibu
nyumbani
mpenzi.
Shusha
presha
ya
mjini
VOICE:
Hilo
ni
maalum
kwa
ajili
ya
kukuliwaza.
Leta
koti
nikuvue
mpenzi
wangu,
usibaki
nalo...
Haya,
nyoosha
miguu
hapo
kwenye
kochi.
Pole
sana
na
kazi
mume
wangu,
najua
umehangaika
sana
kwa
ajili
:Ah,
Mama
Shamim...
asante
mke
wangu.
Yaani
hapa
nishasahau
tabu
zote
za
huko
nje.
MALE VOICE:Huyu ndio mke, kiboko ya uswahilini, (Ooh baby)
Anajua
malezi,
ananienzi
tangu
mlangoni.
(Tangu
mlangoni)
Wacha
wavimbe,
wapasuke
Moyo
wangu
ni
wako,
penzi
Mama
Shamim
wewe,
daktari
wa
roho
yangu,
(Daktari
wangu)
Nitalinda
hili
penzi,
kwa
nguvu
na
uwezo
Nimetoka
kazini
mwili
mzima
unauma
kinoma,
Miguu
mizito,
mawazo
kichwani
yanasonga.
Kutafuta
chapaa
uswahilini
kuna
mambo
mengi
ya
Ila
nikikufikiria
wewe,
moyo
wangu
unapata
amani
na
neema.
Kufika
mlangoni,
mapokezi
yako
ni
ya
moto
wa
kiberiti,
busu
kali
la
hatari,
linarudisha
hisia
za
dhati.
koti
kwa
adabu,
unanionyesha
kiti
cha
kochi,
Unasema
"pole
mume
wangu",
unanituliza
mpaka
naishiwa
VOICE
:Mume
wangu,
maji
ya
uvuguvugu
tayari
bafuni.
Twende
nikakukogeshe
sasa,
nishakuandalia
MALE
VOICE
:Naingia
bafuni
na
wewe,
vibe
linaongezeka
mara
dufu,
Unashika
dodoki
laini,
uchovu
wote
unakwenda
na
maji.
Unanimwagia
maji
mwilini,
unanisugua
mgongo
kwa
ufundi,
kwa
madaha,
sitaki
tena
maneno
ya
uongo.
Mgongo
unatakata
kabisa,
unakuwa
msafi
na
mweupe
pee,
Ukarimu
wako
huu
wa
kileo,
unanifanya
nilewe,
eeh!
Umeumbwa
ukaumbika
mke
wangu,
huna
Siri
ya
chumbani
unaijua,
hupigi
kelele
mitandaoni
kama
dodo.
Makaribisho
haya
moto
moto,
mwanaume
gani
atachepuka
Kila
siku
nawahi
nyumbani,
sichelewi
hata
iweje.
na
wewe
kabisa,
unajua
Uaminifu
na
upendo
wako,
maishani
mwangu
ndio
ngazi.
ya
mashabiki,
nitakupenda
milele
hadi
mwisho,
Wewe
ndio
malkia
wangu,
nishafunga
milango
yote,
hakuna
ushindani
Huyu
ndio
mke,
kiboko
ya
uswahilini,
Anajua
malezi,
ananienzi
tangu
Wacha
wavimbe,
wapasuke
huko
nje,
Moyo
wangu
ni
wako,
penzi
letu
lisiishe.
wewe,
daktari
wa
roho
yangu,
Nitalinda
hili
penzi,
kwa
nguvu
na
uwezo
MALE
VOICE:
Nakupenda
sana
Mama
Shamim.
Yaani
wewe
ndio
kila
kitu
FEMALE
VOICE:
Nakupenda
pia
mume
wangu...
Haya
koti
nishaliweka
sawa,
twende
mezani
chakula
kiko
Sir
Nixy!