Frobits
🎵 Wimbo uliotengenezwa kwenye Frobits

Lala Salama David Nickson Ayienga (Remix)

EL-SHADDAI of GALILEE · 🇰🇪 Kenya
0:000:00
Pakua Remix
Tengeneza wimbo wako mwenyewe
Inaendelea kwa usalama kwenye wavuti
Maneno

Kwaheri ya kuonana. Kwaheri Mama Sarah Philip Otundo. Umesha maliza kasi
Tunakuagaa wewe shujaa wetu, Mama wa nguvu Mama mchaa Mungu, dada katika yesu, Mama Sarah Philip Otundo.
Mama mchapa kazi.
Mama sarah Otundo
Umepumzika
Watu wote wa Matioli community wanasema kwaheri mama
Walikupenda lakini Mungu alikupenda zaidi.
Ulihudumia Mungu Kwa roho safi.
Ulitufunza na kutuhubiria maneno ya busara kanisani.
Kanisa la Matioli church of God limepoteza shujaa
Sarah Philip Otundo pumzika salama
Watoto wako wote wanakushukuru Kwa kuwalea vyema Kwa njia ya kikristo.
Aggrey kijana wako Aggrey anakutakia mema. Aggrey anasema mama lala salama.
Jacton, kijana jacton anasema asante mama Kwa kazi zuri ya kumlea na lala salama mama.
Cleo, yaani cleopus anakuushukuru Kwa kumlea vyema. Cleopus akasema mama tutakumiss Sana. Asante mama.
Bev, Beva , Beva naye animba mama niwewe tu mama. Beva ana kuombea Mungu aiweke roho yako pema peponi.
Joan msichana wako mrembo Joan. Joan anakushukuru Kwa kumlea vyema Kwa muda wote muliokuwa pamoja. Joan anasema mama ni wewe Tu mama. Mama lala salama ndivyo anakuombea joan.
Best friend Frank yaani Franklin hajakusahau. Frankline anakutakia mema huko uliko.
Mama wetu mpendwa Sarah, Sarah Philip Otundo,mama mkarimu, mama roho safi, mama wafuraha nyingi, mama mpenda wageni na watoto, mama mwenye Huruma nyingi. Mama Sarah pumzika na mungu aweke roho yako Hadi tutakapo onana

Nyimbo zaidi za EL-SHADDAI Sikiliza nyimbo zilizotengenezwa na wengine
FROBITS