Frobits
🎵 A song made on Frobits

Irudiwe

Mr Dreezy · 🇹🇿 Tanzania
0:000:00
Download Remix
Make your own song
Continues securely on the web
Lyrics

Someone

wa

somebody

Mmh,

irudiwe

Siku

ile,

mpenzi

wangu

Tulikutana

siku

moja

tu

wewe

Bado

nina

kumbukumbu

nyingi

kuhusu

wewe

Tena

nina

duku

duku

kama

nipo

mwenyewe

Itakuwa

ngumu

kuamini

kama

hauna

mwingine

Itakuwa

ngumu

zaidi

ukiwa

nae

Sijui

sana

kuhusu

Lakini

natamani

iwe

kama

sura

yako

Sitaki

kuchambua

mapito

yako

Napaswa

kutambua

kwangu

mchango

Ninazidi

kukuona

hata

nikifumba

macho,

Natamani

nikugande

zaidi

ya

kikulacho

Umeumbwa

na

aibu

umekuzwa

na

stara,

Nisogeze

karibu

wasije

kuiba

kimasihala

Leo

naomba

Mungu

anirudishie

Siku

ile

tena,

Irudiwe,

siku

ile

tuliyokutana

Irudiwe,

moyo

wangu

wataka

tena

Nakumbuka

kila

neno,

nakuwaza

bila

kikomo

Irudiwe

mpenzi,

nakuhitaji

sana

Irudiwe,

nakuhitaji

sana

Siyo tu jina lako,

Ninakumbuka

kila

Kikubwa

uwepo

unaniimbisha

kila

sarufi

Sitafuti

kiwanja

Moyoni

mwako

ni

pazuri

nitaishi

Sitamani

kuingizwa

mkenge,

Na

Vyakunukia

vya

wabovu

wapishi

Siku

tulokutana

itabaki

Kama

ni

za

mwizi

ile

ndo

arobaini

Nitapunguza

matumizi

ya

sabuni,

Na

nitawapunguza

wana

na

wahuni

Umeumbwa

na

aibu

umekuzwa

na

Nisogeze

karibu

wasije

kuiba

kimasihala

Leo

naomba

Mungu

Siku

ile

tena,

mpenzi

wangu

Irudiwe,

siku

ile

tuliyokutana

Irudiwe,

moyo

wangu

wataka

tena

Nakumbuka

kila

neno,

nakuwaza

bila

kikomo

Irudiwe

mpenzi,

nakuhitaji

sana

Irudiwe,

nakuhitaji

sana

Naimiss

ile

Nakumiss

wewe

Frida

Mmh,

irudiwe

Mpenzi

Mr

Dreezy

Someone

wa

somebody

More songs by Mr Listen to songs created by others
FROBITS