Frobits
🎵 Wimbo uliotengenezwa kwenye Frobits

Un Nouveau Jour

Grâce Milambo · 🇨🇩 Kongo - Kinshasa
0:000:00
Pakua Remix
Tengeneza wimbo wako mwenyewe
Inaendelea kwa usalama kwenye wavuti
Maneno

[male

vocals]

[Intro] Innalillahi

wa

inna

ilayhi

raji'un

Eeeh

Mungu

wetu,

twainamisha

nyuso

zetu

kwako

Wewe

mungu

ni

mukubwa

Ya

kaharu,

Ya

djabaru,

Ya

anzinzu,

yamaliki.......

[Verse 1] Majolu

bango,

bashwe

ba

Kyala

wiambule

Twasukuru

na

bitimbi

vya

virinyambi

mwabakalunga

Tunawakumbuka

leo

kwa

machozi

ya

upendo

Kwa

Mzee

Masudi

Ramazani,

Bwana

Abdala

Issa

Na

Bibi

Asha

Djafari,

tunakuomba

Mola

Uwasamehe

makosa

yao

yote

ya

siri

na

ya

wazi

Ndani

ya

makaburi,

wapumzishe

kwa

amani

Bila

kumsahau

Mama

Salama,

rehma

zako

ziwafunike

Yesu

uturehemu,

Amina.

[Chorus] Eeeh

Mungu

wa

rehema,

sikia

kilio

chetu

Uwasamehe

wazee

wetu,

uwe

mwema

kwao

Kwa

damu

yako

na

neema

yako,

waponye

Tunawapenda,

tunawakumbuka

daima

Eeeh

Mungu

wa

rehema,

twaomba

amani

[Verse 2] Tunamtaja

Mzee

Yusuf

bini

Useni

na

Mama

Zauma

Mwalimu

Amani

bini

Useni

na

Mama

Masida

Roza

Tunawaweka

mbele

zako

Mzee

Abasi

Mwinyi

Tchombe

Na

Mama

Amina,

uwaweke

pema

peponi

Mzee

Kabala

bini

Useni,

Mzee

Mwamini

bini

Useni

Mzee

Djumaini

bini

Useni

na

Mzee

Maamudu

bini

Useni

Tunawaombea

Mwayuma

binti

Useni

na

Safi

binti

Useni

Eeeh

Mungu

wa

huruma,

uwasamehe

makosa

yao

yote.

[Chorus] Eeeh

Mungu

wa

rehema,

sikia

kilio

chetu

Uwasamehe

wazee

wetu,

uwe

mwema

kwao

Kwa

damu

yako

na

neema

yako,

waponye

Tunawapenda,

tunawakumbuka

daima

Eeeh

Mungu

wa

rehema,

twaomba

amani

[Bridge] Bekabeja

mbungu

mwabakalunga

virinyambi

Ni

Idrisa

bini

Useni,

tunakuomba

uwe

naye

Bwana

Ali

bini

Useni,

Ziada

binti

Useni

na

Kaiko

bini

masudi,

alfanii

bini

amadi

n'a

Mustafa

Bibi

masudi.

Tunawaleta

mbele

zako,

wapokee

katika

ufalme

wako

Tunatambua

wewe

ni

mwema,

tunatambua

wewe

ni

mkuu

Asante

Mungu

wetu.

bila

ku

sahabu

watoto

wetu

yahaya

bini

Amani

Leblanc

bourgmestre

wa

matembele

n'a

ramazani

bini

abasi

[Verse 3] Maisha

haya

ni

mafupi

kama

upepo

Tunajikumbusha

mema

waliyotutendea

Tunazidi

kuomba

ulinzi

kwa

wale

waliosalia

Uwasamehe

makosa

yao,

uwape

nuru

ya

milele

Tunakutukuza

wewe

pekee,

uliye

juu

mbinguni

Tunanyenyekea

mbele

zako,

tunakuabudu

Asante

kwa

wazee

wetu,

Asante

kwa

familia

yetu

Tunakuamini

wewe

tu,

Amina.

[Chorus] Eeeh

Mungu

wa

rehema,

sikia

kilio

chetu

Uwasamehe

wazee

wetu,

uwe

mwema

kwao

Kwa

damu

yako

na

neema

yako,

waponye

Tunawapenda,

tunawakumbuka

daima

Eeeh

Mungu

wa

rehema,

twaomba

amani

[Outro] Tunawakumbuka,

tunawaombea

rehema

Eeeh

Mungu,

wapokee

wazee

wetu

Kwa

amani

ya

milele,

Amina

Asante

Amen.

ya

djabaru

Nyimbo zaidi za Grâce Sikiliza nyimbo zilizotengenezwa na wengine
FROBITS