[male vocals] Oh,
baraka
tele
kwa
familia!
Watoto
wa
Papa
Inspecteur
Kadakala,
tunawaimbia!
Clovis
Mwenyezi
Mushipi,
jina
lako
ni
heshima
Umeambatana
na
Maman
Brigitte
Musaada
Puruzi,
upendo
unachoma
Nyinyi
ni
watoto
wa
Papa
Inspecteur
Kadakala
Dakar
Puruzi
Na
Maman
Furaha
Kubuya
Aimerence,
tunawapa
sifa
Mna
adabu
mbele
ya
watu,
heshima
inawapa
nuru
Tunawaombea
muendelee
hivyo,
muwe
na
nguvu
ya
dhahabu
Watoto
wa
Papa
Inspecteur
Kadakala,
mupendane
kila
mara
Kusiwe
na
mtu
wa
kuwachanganya,
msijue
hasara
Upendo
wenu
ni
nguvu,
mshikamano
ni
ngao
Tunawaombea
baraka,
mfanikiwe
katika
maisha
Upendo!
Amani!
Mupendane
daima!
Shemeki
Valérie,
wewe
ni
mkubwa
wa
wenzako
Tunakuomba
uwatunze,
bila
ubaguzi
juwa
nyuma
yako
kuna
Madame
Aline
maman
Na
Alberto,
Nuru,
Merveille,
mupenzi
pia
Baraka,
Vema,
maliyetu,
tunawapenda
sana
na
Le
Roi,
Baba
na
Azina,
wote
wadogo
katika
mstari
Mshikamane
kama
ndugu,
msikubali
kupote
furaha
ya
jamaa
Watoto
wa
Papa
Kadakala,
mupendane
kila
mara
Isiwe
na
mtu
wa
kuwachanganya,
msijue
hasara
Upendo
wenu
ni
nguvu,
mshikamano
ni
ngao
Tunawaombea
baraka,
mfanikiwe
katika
maisha
yenu
Upendo !
Baraka !
Mupendane
daima!
Mama
Argentine,
umeunganika
na
hii
jamaa
ya
thamani
Karibisha
kila
mmoja,
bila
ubaguzi
moyoni
Umoja
wenu
ni
nuru,
inayoangaza
kila
siku
Watoto
wa
Kadakala,
mungu
awape
amani
bila
uzuni
Maisha
ni
safari,
lakini
mkiwa
pamoja
ni
salama
Kumbukeni
mafunzo
ya
wazazi,
Heshima
kwa
kila
mtu
ndiyo
silaha
yenu
kuu
Tunawaombea
mafanikio,
muwe
mfano
bora
kwetu
sote
huu
tuko
mbali
ila
mujisikiye
tuko
pamoja
Watoto
wa
muzaliwa
wenu
wa
kwanza
BRIGITTE
MUSAADA
wana
wapa
salamu,
Richard,
Triomphe
na
Raphaël
wana
sema
jambo!
Watoto
wa
Papa
Kadakala,
mupendane
kila
mara
Isiwe
na
mtu
wa
kuwachanganya,
msijue
na
shida
maishani
mwenu
Upendo
wenu
ni
nguvu,
mshikamano
ni
ngao
Tunawaombea
baraka,
mfanikiwe
katika
maisha
Ah
ooh!
Brigitte
malkia
wangu!
Mupendane
daima!
Baraka
kwa
Clovis
na
Brigitte!
Baraka
kwa
watoto
wote
wa
Kadakala!
Mupendane,
msichukiane,
heshima
kwanza!
Familia
moja,
upendo
mmoja!
Baraka
tele!