Kenya umeamka! (Aweh!)
Sifuna ni tumaini letu, twende mbele! (Asambe!)
Alitoka Mumias, mtoto wa walala hoi,
Akajifunza sheria, kutetea wanyonge,
Nairobi Seneta, alikataa hongo,
Akasimama na Gen Z, wakati wa giza.
Alitoka Mumias, mtoto wa walala hoi,
Akajifunza sheria, kutetea wanyonge,
Nairobi Seneta, alikataa hongo,
Akasimama na Gen Z, wakati wa giza.
Kenya umeamka! Sifuna ndiye Rais!
Mtoto wa Wakenya, awamu ya sita!
Linda Mwananchi, matumaini yetu!
Kura zote 2027, ni kwa Sifuna!
Kenya umeamka! Sifuna ndiye Rais!
Mtoto wa Wakenya, awamu ya sita!
Linda Mwananchi, matumaini yetu!
Kura zote 2027, ni kwa Sifuna!
TEP ndio chama, chama cha usawa,
Linda Mwananchi, nguvu ya wananchi,
Yatima tumeachwa, baada ya Baba,
Sifuna umeletwa, utukomboe Kenya.
TEP ndio chama, chama cha usawa,
Linda Mwananchi, nguvu ya wananchi,
Yatima tumeachwa, baada ya Baba,
Sifuna umeletwa, utukomboe Kenya.
Kenya umeamka! Sifuna ndiye Rais!
Mtoto wa Wakenya, awamu ya sita!
Linda Mwananchi, matumaini yetu!
Kura zote 2027, ni kwa Sifuna!
Kenya umeamka! Sifuna ndiye Rais!
Mtoto wa Wakenya, awamu ya sita!
Linda Mwananchi, matumaini yetu!
Kura zote 2027, ni kwa Sifuna!
Pamoja na Natembeya, na Babu Owino,
Khalwale na Orengo, na Caroli Omondi,
Kawira na Wanami, na Tim Wanyonyi,
Wamunyinyi na Majimbo, Wangamati na Sidai,
Tuko tayari, ushindi ni wetu!
Umoja ni nguvu, twajenga taifa,
Sifuna mbele, tuko nyuma yako,
Kila kijiji, kila mji twapaza sauti,
Kenya ni yetu, tunaona mwanga sasa.
Umoja ni nguvu, twajenga taifa,
Sifuna mbele, tuko nyuma yako,
Kila kijiji, kila mji twapaza sauti,
Kenya ni yetu, tunaona mwanga sasa.
Kenya umeamka! Sifuna ndiye Rais!
Mtoto wa Wakenya, awamu ya sita!
Linda Mwananchi, matumaini yetu!
Kura zote 2027, ni kwa Sifuna!
Kenya umeamka! Sifuna ndiye Rais!
Mtoto wa Wakenya, awamu ya sita!
Linda Mwananchi, matumaini yetu!
Kura zote 2027, ni kwa Sifuna!
Mimi Le Pasteur Lukhendu Nyukuri, natabiri!
Mungu amesema, ushindi ni wa Linda!
Kenya umeamka! Sifuna Rais wa Sita!
Sharp sharp! Asambe!