[male vocals] Ukiskia
jioni
ujuwe
Kila
kitu
kimeshuka
Bei
ni
mwendo
wa
maofa
Tu
Karibuni
Bei
ya
Jioni
hapa
tuna
uza
simu
kwa
mkopo
kama
vile
Samsung,
Infinix,
Tecno
na
itel
Vigezo
ni
rahisi
kama
unashuka
mlima
Kitonga,
Sikia
weeee
Uwe
na
kitambulisho
cha
Nida,
aw
uwe
na
kitambulisho
cha
kura,
aw
leseni
ya
udereva
njow
na
kitambulisho
chako
TU
kuhusu
kianzio
tutaongea
kikubwa
hakuna
linaloshindika
a
mtejaa,
Yaani
uwe
nakitambulisho
vinginee
utajipangia
mwenyewe,
Lengo
letu
mteja
wetu
ufurahi
upate
kile
unacho
hitaji
nyote
mnakaribishwa