Frobits
🎵 A song made on Frobits

Ofa za Jioni

Frank☝️🙏 · 🇹🇿 Tanzania
0:000:00
Download Remix
Make your own song
Continues securely on the web
Lyrics

[male vocals] Ukiskia

jioni

ujuwe

Kila

kitu

kimeshuka

Bei

ni

mwendo

wa

maofa

Tu

Karibuni

Bei

ya

Jioni

hapa

tuna

uza

simu

kwa

mkopo

kama

vile

Samsung,

Infinix,

Tecno

na

itel

Vigezo

ni

rahisi

kama

unashuka

mlima

Kitonga,

Sikia

weeee

Uwe

na

kitambulisho

cha

Nida,

aw

uwe

na

kitambulisho

cha

kura,

aw

leseni

ya

udereva

njow

na

kitambulisho

chako

TU

kuhusu

kianzio

tutaongea

kikubwa

hakuna

linaloshindika

a

mtejaa,

Yaani

uwe

nakitambulisho

vinginee

utajipangia

mwenyewe,

Lengo

letu

mteja

wetu

ufurahi

upate

kile

unacho

hitaji

nyote

mnakaribishwa

More songs by Frank☝️🙏 Listen to songs created by others
FROBITS