[male vocals] Woyoyooooo...
wololoooo...
Tangu
nimekuona
machoni
pangu
moyo
ulikosa
utulivu.
Nikajiuliza
nitakupataje.
Leo
natamba
nawe
Jackie...
tangu
enzi
Toka
Mungu
akuone,
Mama
Kibera
mpk
Leo
waitwa
mama
Triple
G
and
H....
waooo...
wewe
ni
Nuru
njema
kwangu.
Endelea
kuishi
vyema
Jackie,
sura
Yako
ya
upole
iendane
na
moyo
wako.
Usimuache
Mungu
kipenzi,
walee
vyema
wanetu...
Tatatilslaaa..
tututiliaaa...
Wacha
nivimbe,
Wacha
nitambe
nawe.
Moyo
una
Amani,
magori
wa
habhiri...
nakupenda
Leo
na
daima
tunza
amani
kisukari
kisipande....
Love
you,
nakupenda,
nakukondani...
woyooo..
wololoooo...
cheers