[male
vocals] (
Eeh
Baba,
twende) (
Upendo
ni
wito,
usikie
wito)
Ndugu
na
ndugu
hatupendani
Wala
hatusaidiani
Ndugu
na
ndugu
hatupendani
Wala
hatusaidiani
Nchi
na
nchi
kila
leo
ni
mapigano
Zinaundwa
siraha
za
hatari
Kuangamiza
watu
wa
Mungu
Aliopendezwa
nao
kuishi
Jirani
hafurahishwi
na
mafanikio
ya
jirani
yake
Eeh
Mungu,
tusaidie!
Ni
Mungu
yupi
tunayesema
twampenda
Ikiwa
sisi
kwa
sisi
hatupendani?
Unafiki,
uadui
na
chuki
Ndiyo
furaha
ya
wengi
Tunatabasamu
usoni
Mioyoni
tumenuna
Mungu
kakuinua
ili
uwe
baraka
Kwa
familia
yako,
ndugu
zako
Wazazi
wako,
pamoja
na
wengine
Na
kwa
kanisa
lake
Lakini
wewe
unatumia
nafasi
hiyo
Kuwaumiza
wengine
Ni
Mungu
yupi
huyo
anayefurahia
tabia
yako? (
Safi,
sikia!)
Ni
Mungu
yupi
tunayesema
twampenda
Ikiwa
sisi
kwa
sisi
hatupendani?
Unafiki,
uadui
na
chuki
Ndiyo
furaha
ya
wengi
Tunatabasamu
usoni
Mioyoni
tumenuna
Tazama
tuko
mbali
na
maelekezo
ya
Kristo
Alisema
pendaneni
kama
niwapendavyo
mimi
Tuzione
nafasi
za
wengine
kama
za
kwetu (
Tupendane,
twende!)
Dunia
iliyompendeza
Mungu
Imekuwa
chukizo
machoni
pake
Watu
wema
wako
wapi?
Kuisaidia
dunia
na
kufanya
iwe
njema
kwa
wote
Chuki
za
nini,
vita
ya
nini?
Mbona
wanatesa? (
Ona
sasa!)
Ni
Mungu
yupi
tunayesema
twampenda
Ikiwa
sisi
kwa
sisi
hatupendani?
Unafiki,
uadui
na
chuki
Ndiyo
furaha
ya
wengi
Tunatabasamu
usoni
Mioyoni
tumenuna
Tupendane,
eeh
baba
Ni
wito
wetu,
ni
amri
yake
Upendo
daima,
upendo
daima
Ni
wito
wetu,
ni
amri
yake
Upendo
daima,
upendo
daima (
Safi,
haleluya!) (
Twende
na
upendo,
twende!) (
Asante
Yesu)