Frobits
🎵 A song made on Frobits

Ndiyo Dhamana

Kelvin · 🇹🇿 Tanzania
0:000:00
Download Remix
Make your own song
Continues securely on the web
Lyrics

[female vocals] Eeh

baba,

twende!

Safi

sana,

moyo

wangu

Yesu

ni

mwamba,

haleluya

Ndiyo

dhamana,

Yesu

wangu

Hunipa

furaha

za

Mbingu

Mrithi

wa

wokovu

wake

Nimezaliwa

kwa

Roho

yake

Habari

njema,

raha

yangu

Yesu

ndiye

Mwokozi

wangu

Habari

njema,

raha

yangu

Yesu

ndiye

mwokozi

wangu

Kumsalimu

moyo

wangu

Mara

namwona

raha

yangu

Aniletea

malaika

Wananilinda,

taokoka

Habari

njema,

raha

yangu

Yesu

ndiye

Mwokozi

wangu

Habari

njema,

raha

yangu

Yesu

ndiye

mwokozi

wangu

Sina

kinyume,

nashukuru

Mchana

kutwa

huja

kwangu

Usiku

kucha

kuna

nuru

Mwokozi

wangu,

ndimi

huru

Hali

na

mali

anitwaa!

Mara

namwona

anifaa

Nami

nangoja

kwa

subira

Akiniita,

nije

mara

Habari

njema,

raha

yangu

Yesu

ndiye

Mwokozi

wangu

Habari

njema,

raha

yangu

Yesu

ndiye

mwokozi

wangu

Yesu

mwokozi,

raha

yangu

Twende

mbinguni,

eeh

baba

Safi,

haleluya,

asante

Nuru

ya

milele,

twende!

More songs by Kelvin Listen to songs created by others
FROBITS