Frobits
🎵 A song made on Frobits

Harusi ya Furaha

Mchina Fghter · 🇹🇿 Tanzania
0:000:00
Download Remix
Make your own song
Continues securely on the web
Lyrics

(Vibe ya harusi inakaa moto!)
(Mchina hapa, tunaanza sherehe!)
(Kila mtu ainue mikono, leo tunashangilia!)
Mauada mauada yahao maharusi
Mie mchinado nawaaimbiaa
Walioosemaa kwamba amtafika leo
Wameona mapenzi yenu mema
Allah kajalia ndoaaaa yenu amini
Wenyehusudaaa macho kwao kodo
Cheza kwafurahaa ndoaa hiii yenu
Mie abdu mchinaaa nawaimbia
Harusi imewaka, furaha tele
Maoana ya dhati, tunasherehekea
Harusi ya heshima, ya bashasha
Cheza kwa furaha, leo ni siku yenu
(Aha, harusi ya heshima!)
Kwanza dada yetu usisikilize ya magenge
Hakuna mtumbaya kama mnafiki
Mueshimu mumeoo vitabu vyatuambia
Nawe mwanaume uyo ni mkeoo
Siri za ndani ziishie ndani
Usikubali kuyumbishwa na vishawishi
Mapenzi yenu yakue kama mti wa uzima
Harusi imewaka, furaha tele
Maoana ya dhati, tunasherehekea
Harusi ya heshima, ya bashasha
Cheza kwa furaha, leo ni siku yenu
Awe djcheka na ibra usinge moto moto
Muhajilina cheza kwafuraha namadufu
Shehe wetu wakata magwese yupo apa
Hamadiwaboli pia shehe musa rasimsigwa
Nurushehe usinge piaa furaha nabashasha
Harusi imewaka harusi yaheshimaa
Ahaa awe dunianzimausinge
Furahi kwa bashasha ustazi hasani na useni
Yani kurwa na doto wamajengo yakigoma
Hii manyema records usinge meneja mchina miee
Awe afro music chapa ilale kaswida tamu tamu
Harusi imewaka, furaha tele
Maoana ya dhati, tunasherehekea
Harusi ya heshima, ya bashasha
Cheza kwa furaha, leo ni siku yenu
Furahini maharusi wetu
Mungu awabariki katika safari hii
(Mchina kashusha nondo)
Harusi ya furaha, harusi ya heshima
(Cheza! Cheza!)
(Tunaendelea mpaka asubuhi!)
(Kaswida tamu tamu, maharusi wetu)
(Ahaaaa!)

More songs by Mchina Listen to songs created by others
FROBITS