[female vocals] Ah
ooh!
Malaika
wetu
wapendwa!
Roho
zenu
zipumzike
kwa
amani!
Studio
CLOVA
saunde
na
Kampala
avec
DJ
mix !
Mama
Rehema,
baba
Misibouko
Venase
muliacha
mwanga
Ujumbe
huu
wa
upendo
na
ufike
huko
mbinguni
Ingawa
hamupo
tena
kwenye
dunia
hii
ya
mateso
Naahidi
kuwapenda,
daima
nitaitunza
Zawadi
muliyo
nipa
ndiyo
nuru
ya
macho
yangu
Meshake
mume
mwema
mwenye
moyo
mwema,
anayenifaa
kwa
yote
mume
mwenye
upendo
mwingi
kwangu
Asante
Mama
Rehema,
asante
Baba
Misibouko
Venase
Muli
niachia
hazina,
Meshake
mume
wangu
Ananipa
raha
tele,
ana
moyo
wa
upendo
Ahadi
yangu
kwenu
ni
kumpenda
mume
wangu
Asante
kwa
zawadi,
asante
kwa
Meshake
Siwezi
kuwapa
dhahabu,
sina
cha
kuwapa
tena
Ila
sauti
hii
ya
moyo
na
ifike
peponi
Roho
zenu
zipumzike
mahali
pema
salama
Nashukuru
sana
maana
hamuku
niacha
peke
yangu
Ni
upendo
wenu
uliotukutanisha
mimi
na
Meshake
Urafiki
na
utu,
ndio
urithi
mlioacha
kwangu
Asante
Mama
Rehema,
asante
Baba
Venase
Muli
niachia
hazina,
Meshake
mume
wangu
Ananipa
raha
tele,
ana
moyo
wa
upendo
Ahadi
yangu
kwenu
ni
kumpenda
mume
wangu
Asante
kwa
zawadi,
asante
kwa
Meshake
Muli
niachia
Papa
Buchanga,
Misibuko
na
Tifaine
Dada
yangu
mpendwa,
familia
yenye
baraka
Nawashukuru
mno
kwa
upendo
mlionipa
Meshake
ananipa
faraja
kila
siku
ya
maisha
yangu
Baraka
ziwe
nanyi,
popote
mlipo
sasa
Meshake
ni
zawadi
kubwa,
mume
mwenye
heshima
Ananijali,
ananipenda,
ananipa
furaha
ya
kweli
Ahadi
yangu
ya
dhati
ni
kumtunza
mume
wangu
Kama
vile
muliivyomlea
kwa
hekima
na
upendo
Namuona
mungu
ndani
yake,
nashukuru
kwa
zawadi
Malaika
wangu
wapendwa,
mbarikiwe
sana
Asante
Mama
Rehema,
asante
Baba
Venase
Muli
niachia
hazina,
Meshake
mume
wangu
Ananipa
raha
tele,
ana
moyo
wa
upendo
Ahadi
yangu
kwenu
ni
kumpenda
mume
wangu
Asante
kwa
zawadi,
asante
kwa
Meshake
Faraja
ya
moyo!
Mbarikiwe
sana
Mama
na
Baba
Meshake
ataendelea
kuwa
nuru
ya
maisha
yangu
Ahadi
ya
upendo
ni
ya
milele
Lala
salama,
lala
kwa
amani,
maman
Rehema
na
baba
Misibouko
Venase!
Ah
ooh!
Sauti
ya
mukwe
wenu
bikulo
MAYANGA
bevam
fortune
muke
wa
mutoto
wenu
Meshake,
na
wapenda
sana!