My
Love
Happy,
yeah
Natafuta
pesa,
pesa,
pesa,
Boko
mpaka
Benz,
lazima
nifike,
Mungu
niongoze,
nisiondoke
njia,
jasho
langu
leo,
kesho
litanunua
villa.
Jokery
ananiambia
kaka
usikate
tamaa,
kesho
yako
Dogo
Male
anasema
hustle
bila
hasara,
tukishikana
hakuna
wa
toka
utoto
tumekuwa
pamoja,
sasa
tunatafuta
pesa
kwa
pesa,
pesa,
pesa,
Boko
mpaka
Benz,
lazima
nifike,
watesi
wangoje,
nitawanyamazisha,
Boko
Magereza
My
Love
Happy,
wewe
ndio
moyo
wangu,
nakuhustlia
wewe
upate
Gabriel
Maembe,
damu
yangu,
kaka
ukiona
ninalia
basi
ni
kwa
ajili
sitaki
kulala
njaa,
sitaki
kulala
chini,
nataka
familia
yangu
ikule
mezani.
Boko
Magereza,
toka
matope
mpaka
juu
ya
ma-gorofa,
Mungu
akipenda
tutafika,
Boko
mpaka
Benz,
lazima
tutafika.
Natafuta
pesa,
pesa,
pesa,
(pesa)
Boko
mpaka
Benz,
lazima
nifike,
(nifike)
Evalius
Mwombeki,
Jokery,
Dogo
Male,
Gabriel
Maembe
na
My
Love
Happy,
tunaenda juu, hatushuki chini tena!
Boko... Magereza...
Pesa lazima ije...
Team
yangu...