Nionyeshe
Bwana
Yesu
mimi
Nisijione
nimekamilika
kiimani
Kumbe bado, kumbe bado mbele zako
Nisije
nikawa
msindikizaji
mbinguni
Ooh,
nisije
nikabaki
nyuma
Bado
nakushukuru
umenipa
Na
muda
wa
kuabudu
jina
Sijui
nifanyaje
katika
Niuone
ufalme
wa
Mungu
mbinguni
Niongeze
imani,
nionyeshe
njia
Najua
msaada
wako
nauhitaji
Usiniache
Bwana,
usiniache
hata
Najiuiza
itakuaje
nikikosa
mbingu
Wakati
wokovu
ninao
mkononi
(Praise
God!
Yesu
usiniache!)
Bado
nakushukuru
Na
muda
wa
kuabudu
jina
lako
Sijui
nifanyaje
katika
kuvuka
Niuone
ufalme
wa
Mungu
mbinguni
Niongeze
imani,
nionyeshe
njia
Nipe nguvu za kushinda dhambi
Nipe macho ya kuona nuru yako
Siamini nguvu zangu, naamini zako
Nionyeshe
mbingu,
nionyeshe
uzima
(Glory! Glory! Amen!)
Bado nakushukuru umenipa uhai
Na muda wa kuabudu jina lako
Niuone
ufalme
wa
Mungu
mbinguni
Twende
mbinguni,
twende
mbinguni!