Yuko nami, Bwanayuko nami
Bwana yuko nami, haleluya!
Kwenye huduma yangu, kwenye utumishi wangu
Nimemuona Bwana, ooh haleluya!
Kwenye huduma yangu, kwenye utumishi wangu
Nimemuona Bwana, ooh haleluya!
Kwa kanisa lake, nimemuona Bwana
Kwenye ndoa yangu, na watoto wangu
Namtegemea Bwana, ooh haleluya!
Yuko nami, yuko nami
Bwana yuko nami, ooh haleluya!
Yuko nami, yuko nami
Bwana yuko nami, ooh haleluya!
Yesu yuko nami, sifi Bwana
Yuko nami, ooh haleluya!
Adui zangu wakiinuka, hawataweza
Maana yuko nami, ooh haleluya!
Adui zangu wakiinuka, kwangu hawataweza
Maana yuko nami, ooh haleluya!
Na mitego yao wakiitega, haitanasa
Maana yuko nami, ooh haleluya!
Na mitego yao hiyo, wakiitega kwangu
Haitanasa, maana yuko nami!
Yuko nami, yuko nami
Bwana yuko nami, ooh haleluya!
Yuko nami, yuko nami
Bwana yuko nami, ooh haleluya!
Yesu yuko nami, sifi Bwana
Yuko nami, ooh haleluya!
Ninaye Yesu, nimehakikisha
Jemedari wangu, nitashinda vita
Ninaye Yesu, nimehakikisha
Jemedari wangu, nitashinda vita
(Praise Him! Yes Lord!)
Kwenye huduma yangu, kwenye utumishi wangu
Nimemuona Bwana, ooh haleluya!
Kwa kanisa lake, anasimama Bwana
Kwenye ndoa yangu, na watoto wangu
Ninamwona Bwana, ooh haleluya!
Yuko nami, yuko nami
Bwana yuko nami, ooh haleluya!
Yuko nami, yuko nami
Bwana yuko nami, ooh haleluya!
Yesu yuko nami, sifi Bwana
Yuko nami, ooh haleluya!
Ninamwona, yuko nami
Anatembea nami, haleluya!
Bwana yuko nami, milele na milele
Amina, amina!