[male
vocals] (
Eeh
baba,
msikilize) (
Maisha
haya,
yana
maswali
mengi) (
Lakini
jibu
lipo,
eeh)
Acha
nikuulize
mpendwa
wangu
Ivi
ulishawahi
kujiuliza
unakotoka?
Acha
nikuulize
mpendwa
wangu
Ivi
ulishawahi
kujiuliza
unakotoka?
Na
unakokwenda,
unakujua
kweli?
Ivi
ulishawahi
kumbuka
pale
ulipozaliwa?
Kwanini
ulikuja
huna
chochote
mkononi?
Na
kwanini
unapokufa,
huendi
na
chochote?
Yesu
ndiye
jibu
la
maisha
yetu
Majibu
yote
kwake
yapo
Usiogope,
usiwe
na
wasiwasi
Yesu
ndiye
jibu
la
maisha
yetu
Maisha
tunayoishi
yamejaa
maswali
Taaluma
za
ulimwengu
hazina
majibu
Labda
unayo
maswali
juu
ya
ndoa
yako
Mwenzi
wako
amekuwa
mwiba
moyoni
Furaha
na
amani
zimepotea
kabisa
unajiuliza
kwanini
mimi?
hata
lini
hali
hii?
Lakini
usikate
tamaa,
Yesu
anatosha
Yesu
ndiye
jibu
la
maisha
yetu
Majibu
yote
kwake
yapo
Usiogope,
pengine
maswali
ya
moyo
wako
yako
juu
ya
afya
yako
maana
magonjwa
yamekukumba
ambayo
hata
wataalamu
na
wakunga
hawana
majibu
yake
huna
amani
huna
furaha
tena
tumaini
la
kuishi
limepeperuka
umejiuliza
maswali,
ni
nani
atakayeniponya
nitapona
lini?
usiwe
na
wasiwasi
Yesu
ndiye
jibu
la
maisha
yetu
Kila
swali
gumu,
yeye
anajua
Kila
huzuni
yako,
yeye
anaitoa
Fungua
moyo
wako,
umkaribishe
sasa
Maana
yeye
ni
nuru,
yeye
ni
njia
Yesu
ndiye
jibu
la
maisha
yetu
Majibu
yote
kwake
yapo
Usiogope,
pengine
unayo
maswali
juu
ya
hali
yako
mbaya
mana
vifungo
vya
dhambi
vimekukamata
hupendi
kuwa
hivyo
ama
kuitwa
jina
hilo
baya
lakini
unalazimika
mana
sio
wewe
bali
ni
vifungo
vya
adui
shetani
pengine
umefungwa
kwenye
uzinzi
hupendi
maisha
hayo
hupendi
kuitwa
mzinzi
ama
kahaba
ama
umefungwa
kwenye
ulezi
na
uvutaji
wa
madawa
ya
kulevya
ama
katika
ushirikina
na
uchawi
majini
na
mashetani
huna
furaha
ya
moyo
huna
amani
wakati
wote
unajiuliza
swali
hili
ni
nani
atakaye
niokoa
usiwe
na
wasiwasi
Yesu
ndiye
jibu
la
maisha
yetu
Yesu
ni
jibu,
samweli
imba
mungu
amekuokoa
katika
shimo
dhambi
YESU
KRISTO
NI
JAWABU
LA
MAMBO
YOTE
MAISHANI
MWAKO
MAGONJWA,
NDOA,
VIFUNGO
VYA
DHAMBI,
UCHUMI
NA
MENGINE
YOTE
MAKUBWA
KWA
MADOGO
Yesu
ni
jibu,
maishani
mwako
Yesu
ni
jibu,
maishani
mwako (
Haleluya,
amin) (
Yesu
ni
jibu)