Frobits
🎵 A song made on Frobits

Notre Douce Alliance

Petrobass09 · 🇨🇩 DR Congo
0:000:00
Download
Make your own song
Continues securely on the web
Lyrics

Eunice Malkia wa moyo wangu!!! Nakupenda mama na kwenye ufalme wa moyo Uko peke yako
Sijawahi kupenda kama ninavyo kupenda Wewe , moyo wangu nakupa Mama Eunic mimi ni wako
Nimeamua ku badirisha Jina Siyo Enjili Tena naitwa Enjice-Bass, walio nijuwa kama Petro Bass Léo naitwa Euni-petro, Nimezaliwa kwake upya najiona kama mtoto mdogo
Hmm Hmm Hmm Mimi Na yeye Tunaendana
Hmm Hmm Hmm Mimi Na yeye tunapendana
Wanaohisi tutaachana Tunawa Mindy kati mchana Yaani sisi hatuachani Yetu mapenzi wamesha fika
Eunice, Eunice Wako Enjili Nakupenda
Eunice, Eunice wako Enjili Nakupenda
Usiwape wanafiki waskio wasije wakaweka kisicho mixi
Wakiuliza Ni kitu gani unacho pata kwangu waambiye ni siri ya moyo!!!
Eunice, Eunice wako Enjili Nakupenda
Eunice, Eunice wako Enjili Nakupenda
Tuishi Kwa amani na upendo, tuitwe wazazi wa watoto
Uitwe Mama nami niitwe baba, tuachane na maisha ya ukahaba
Niamini miimi Nitakupa maisha mazuri, na kama sijapata usikate tamaa niombee Mungu si Athumani atanipa kama aliwapa wale wengine.
Eunice, Eunice wako Enjili Nakupenda
Eunice, Eunice wako Enjili Nakupenda
Uzaifu wangu uyabebe na usitangaze Waniseme
Siri yangu uyatunze na usiwape maadui
Tuombe Mungu Kesho uwe mazuri
Tusisahau kushukuru kwa kila jambo
Eunice, Eunice wako Enjili Nakupenda
Eunice, Eunice wako Enjili Nakupenda

More songs by Petrobass09 Listen to songs created by others
FROBITS