Frobits
🎵 A song made on Frobits

Ancient Echoes

Havila Attorneys · 🇹🇿 Tanzania
0:000:00
Download Remix
Make your own song
Continues securely on the web
Lyrics

1 Aketiye

mahali

pa

siri

pake

Aliye

juu

Atakaa

katika

uvuli

wake

Mwenyezi. 2

Nitasema,

Bwana

ndiye

kimbilio

langu

na

ngome

yangu,

Mungu

wangu

nitakayemtumaini. 3

Maana

Yeye

atakuokoa

na

mtego

wa

mwindaji,

Na

katika

tauni

iharibuyo. 4

Kwa

manyoya

yake

atakufunika,

Chini

ya

mbawa

zake

utapata

kimbilio;

Uaminifu

wake

ni

ngao

na

kigao. 5

Hutaogopa

hofu

ya

usiku,

Wala

mshale

urukao

mchana, 6

Wala

tauni

ipitayo

gizani,

Wala

uele

uharibuo

adhuhuri, 7

Ijapo

watu

elfu

waanguka

ubavuni

pako.

Naam,

kumi

elfu

mkono

wako

wa

kuume!

Hata

hivyo

hautakukaribia

wewe. 8

Ila

kwa

macho

yako

utatazama,

Na

kuyaona

malipo

ya

wasio

haki. 9

Kwa

kuwa

Wewe

Bwana

ndiwe

kimbilio

langu;

Umemfanya

Aliye

juu

kuwa

makao

yako. 10

Mabaya

hayatakupata

wewe,

Wala

tauni

haitaikaribia

hema

yako. 11

Kwa

kuwa

atakuagizia

malaika

zake

Wakulinde

katika

njia

zako

zote. 12

Mikononi

mwao

watakuchukua,

Usije

ukajikwaa

mguu

wako

katika

jiwe. 13

Utawakanyaga

simba

na

nyoka,

Mwana-simba

na

joka

utawaseta

kwa

miguu. 14

Kwa

kuwa

amekaza

kunipenda

Nitamwokoa;

na

kumweka

palipo

juu,

Kwa

kuwa

amenijua

Jina

langu. 15

Ataniita

nami

nitamwitikia;

Nitakuwa

pamoja

naye

taabuni,

Nitamwokoa

na

kumtukuza; 16

Kwa

siku

nyingi

nitamshibisha,

Nami

nitamwonyesha

wokovu

wangu.

More songs by Havila Listen to songs created by others
FROBITS