Ni
Babasha
wako,
malkia
wangu
Sikiliza
moyo
unavyoimba
kwa
ajili
Devotha
mpenzi,
moyo
wangu
ni
wako
Umenipa
furaha,
nimekupa
moyo
wangu
wote
Kwenye
raha
na
shida,
nitakuwa
nawe
Mke
wangu
Devotha,
nakupenda
Hata
dunia
ikigeuka,
bado
wewe
ni
wangu
Umeniteka
akili,
umenijaza
upendo
Devotha,
Devotha,
my
baby
oh
my
lover
Wewe
ni
wangu,
mimi
ni
Mpaka
mwisho
wa
safari,
mwisho
wa
safari,
nitakuwa
Tabasamu
lako
ni
nuru
ya
macho
Kila
nikikuona,
amani
inajaa
Sitaenda
popote,
nitabaki
hapa
nawe
Kupenda
kwako
ni
zawadi
ya
thamani
Maisha
yetu
ni
ya
milele,
twende
Kila
hatua
tunayopiga,
ni
kwa
ajili
ya
upendo
Devotha,
Devotha,
my
baby
oh
my
lover
oh
Wewe
ni
wangu,
mimi
ni
Mpaka
mwisho
wa
safari,
nitakuwa
nawe
Devotha,
Devotha,
my
baby
oh
my
lover
Wewe
ni
wangu,
mimi
ni
wako
mwisho
wa
safari,
nitakuwa
nawe
Upendo wako hauna mfano
Ni wewe tu, pekee yako maishani
Asante kwa kunichagua mimi
Nakuahidi uaminifu mpaka mwisho
Devotha, Devotha, my baby oh
Babasha
nakupenda,
my
lover
Safi,
bongo
Yeah
yeah,
ni
wewe
tu