Kwaheri
Kaka
na
dada
zetu,
tutawakumbuka
sana
Elimu
ni
ufunguo,
safari
ya
maisha
Kila
la
kheri
wahitimu,
mungu
awabariki (
Haya
twende,
sote
pamoja)
Jua
linawaka,
mioyo
inatabasamu
Leo
tunaaga,
darasa
la
saba
ni
muhimu
Kabungo
shule
yetu,
mumejifunza
mengi
Elimu
ni
dira,
sasa
munaenda
nyumbani
Boazi
na
Hilida,
safari
imeanza
leo
Ivines
na
Eines,
mmeshika
vyeti
vyenu
Shama
na
Anivea,
mnaelekea
mbali
Silidion
na
Ramu,
msiwe
na
wasiwasi
Rihana
na
Abibon,
marafiki
wa
kweli
Alifreus
na
Nicasius,
mtajenga
taifa
hili
Ooh,
wahitimu
wetu,
darasa
la
saba
Mnaondoka
shuleni,
kuelekea
maisha
mapya
Kabungo
tunajivunia,
matunda
mliyopanda
Kila
hatua
mnayopiga,
Mungu
awaongoze
sana
Ooh,
wahitimu
wetu,
darasa
la
saba
Safari
ndefu
ya
elimu,
ndiyo
kwanza
inaanza
John
na
Nasibu,
msiache
kujisomea
Veisia
na
Rita,
ndoto
zenu
zikamilike
Tresia
na
Placidia,
mwe
na
heshima
daima
Alipius
na
Adula,
msiogope
changamoto
Aivonia
na
Davisia,
mnyanyuke
kama
tai
Almachius
na
Ausonius,
busara
iwe
rafiki
Dastan
na
Danifodi,
fanyeni
kazi
kwa
bidii
Geradius
na
Edson,
mshinde
kila
jaribu
Evan
na
Gentius,
mng'ae
kama
nyota
Jovan
na
Joventius,
msimame
kwa
imara
Ooh,
wahitimu
wetu,
darasa
la
saba
Mnaondoka
shuleni,
kuelekea
maisha
mapya
Kabungo
tunajivunia,
matunda
mliyopanda
Kila
hatua
mnayopiga,
Mungu
awaongoze
sana
Ooh,
wahitimu
wetu,
darasa
la
saba
Safari
ndefu
ya
elimu,
ndiyo
kwanza
inaanza
Rocklin
na
Radislaus,
Sevelinus
na
Sperius
Stephano
na
Sweetbert,
Arojia
na
Altemia
Ansia
na
Bonesa,
Delifina
na
Devotha
Edimina
na
Edora,
Enni
na
Eviana
Fadhila
na
Ivetha,
Kasalia
na
Reines
Nauma
na
Novina,
Olivia
na
Pieta
Rodesta
na
Vestina,
Wivina
na
Zeifata
Sote
tunaungana,
kwa
sauti
moja
kuu
Tunawatakia
heri,
kwenye
safari
yenu
Ooh,
wahitimu
wetu,
darasa
la
saba
Mnaondoka
shuleni,
kuelekea
maisha
mapya
Kabungo
tunajivunia,
matunda
mliyopanda
Kila
hatua
mnayopiga,
Mungu
awaongoze
sana
Ooh,
hitimu
wetu,
darasa
la
saba
Safari
ndefu
ya
elimu,
ndiyo
kwanza
inaanza
Kwaheri
Kaka
na
dada
zetu,
tutawakumbuka
sana
Elimu
ni
ufunguo,
safari
ya
maisha
Kila
la
kheri
wahitimu,
mungu
awabariki (
Haya
twende,
sote
pamoja)
Jua
linawaka,
mioyo
inatabasamu
Leo
tunaaga,
darasa
la
saba
ni
muhimu