[male vocals] Lakini
kumbukumbu
zenu
tunazihifadhi
mioyoni (
Huzuni,
huzuni...
ila
maisha
yanaendelea)
Huzuni
imejaa
katika
kijiji
chetu
chote
cha
uchasambi
Katika
mioyo
yetu,
tunahifadhi
sura
zenu
Papa
Pierre,
hatutakusahau
Papa
Albert,
bado
uko
pamoja
nasi
kila
hatua
Papa
Valère,
ukimya
ni
mkubwa
sana
Mama
Mapendo,
unang'aa
huko
mbinguni
Papa
René,
kivuli
chako
kinatuongoza
hapa
Papa
Bakusi,
tunakuwaza
pia
Tunakumbuka,
tunawakumbuka
nyote
kuwa
sahau
haita
tokea ,
sote
tumepiga
magoti
huzuni,
huzuni,
ndio
ina
baki
ndani
mwetu
Kupitia
muda,
na
mazuri
mulio
tena
haya
yote
Kila
mmoja
analia,
kila
mmoja
amebeba
mzigo
wa
machozi
Lakini
kumbukumbu
zenu
tunazihifadhi
mioyoni
Mimi
Shikito,
nalia
kwa
kuondoka
kwenu
Kangankolo,
Kakoko,
moyo
uko
gizani
Jéran
na
Albert,
majonzi
ni
makubwa
sana
Selemani,
Dada
Léa,
tunaanguka
kwa
huzuni
Sharli
anawahifadhi
nyote
katika
kumbukumbu
zake
Dada
Mariamo,
hakuna
tena
la
kusema
duniani
Sifa
na
Jane,
maumivu
yanafuatana
nao
Erodia,
Yonisi,
machozi
yanatutawala
Tunakumbuka,
tunawakumbuka
nyote
Huzuni,
huzuni,
sote
tumepiga
magoti
machozi,
machozi,
ndio
ime
baki
moyoni
Kupitia
muda,
na
mazuri
mulio
fanya
haya
yote
Kila
mmoja
analia,
kila
mmoja
amebeba
mzigo
wa
machozi
Lakini
kumbukumbu
zenu
tunazihifadhi
mioyoni
Biju,
na
Céselia,
wana
sema
mu
lazwe
pema
peponi
Kaka
Alé,
ana
lia
pengo
lenu
linaonekana
kila
mahali
Mwarabu,
motema
ya
aluwa
ana
Jana
na
huzuni
Mombwalo
ya
Maman
Maïke,
ana
wa
takia
mema
peponi
Mimi
Shikito,
mume
wa
Anifa,
nawapa
heshima
Shikito
baba
wa
Foibe,
Anje
na
Sifa,
huu
ndio
ujumbe
wangu (
Flûte...)
Tunakumbuka... (
Huzuni,
huzuni)
Pumzikeni
kwa
amani... (
tuta
wa
kumbuka
daima,)
Mwanga
wenu
bado
unang'aa
katika
mji
Wetu
wa
uchasambi
Kwa
heri,
kwa
heri
nyote (
Ayy,
Shikito...)