Aaah,
yeah...
Kitandani
niko
peke
yangu,
usingizi
umegoma
The
loneliness
of
these
late-night
hours
inanisoma
Ni
ukweli
usiopingika,
how
much
I
miss
la
usiku,
pendo
lako
ndio
taa
mwangaza
Kila
sekunde
inayopita,
sura
yako
inanijia
Natamani
nikuone,
moyo
wangu
upate
kutulia.
Mmmh...
aaah...
Melvin,
nipigie
simu
nisikie
sauti
yako,
mpenzi
Mmmh...
aaah...
My
love,
nipigie
video
call
niuone
urembo
wako
You
look
so
beautiful
and
romantic
Mmmh,
Melvin...
I
wish
I
was
around
to
hold
you
tight
in
my
chest...
mmmh,
aaah...
Mbalamwezi
inawaka,
inanikumbusha
tabasamu
lako
Natamani
ningekuwa
hapo,
niwe
mlinzi
wa
ndoto
nikiwa
mbali,
lakini
roho
ipo
kwako
unuse
harufu
ya
kifua
changu
Kupumzika
kwenye
mikono
yako,
ndio
furaha
ya
ulimwengu
But
tonight
I
send
my
love,
ikulaze
salama,
jua
langu.
Mmmh...
aaah...
Melvin,
nipigie
simu
nisikie
aaah...
My
love,
nipigie
video
call
niuone
urembo
You
look
so
beautiful
and
romantic
Mmmh,
Melvin...
I
wish
I
was
around
to
hold
Hold
you
tight
in
my
chest...
mmmh,
aaah...
Mmmh,
aaah...
Hata
kama
tuko
mbali,
yet
you
are
my
everything
Usiku huu wa manane, natamani nikupe busu
Funga macho yako, feel my touch kwenye ngozi yako
Moyo
wangu
ni
wako,
Melvin,
lala
ukijua
nakupenda...
Aaah,
yeah...
Sir
Nixy
on
this
one...
Mmmh...
aaah...
Melvin,
nipigie
simu
nisikie
sauti
yako,
mpenzi
Mmmh...
aaah...
My
love,
nipigie
video
call
niuone
urembo
wako
You
look
so
beautiful
and
romantic
Mmmh,
Melvin...
I
wish
I
was
around
to
hold
you
Hold
you
tight
in
my
chest...
mmmh,
aaah...
Lala
salama,
my
love...
Sleep
well,
sweet
dreams,
Honey...
Mmmh,
ndoto
tamu
mpenzi
wangu
Melvin...
It's
Sir
Nixy,
signing
out
for
the
I
love
you...
Goodnight,
my
queen.