[female vocals] Refrain —
assemblée
Ee
Bwana,
yote
ni
yako,
Wewe
Mungu,
hakuna
mwingine.
Ya
Kaisari
tumpe
Kaisari,
Na
ya
Mungu
tumpe
Mungu.
Koreshi,
nimekuita
kwa
jina,
Nimekushika
mkono
wa
kuume.
Ingawa
wewe
hukunijua,
Mimi
Bwana
nitakuongoza.
Kutoka
mashariki
hata
magharibi,
Watu
wajue
wewe
ndiwe
Bwana.
Hakuna
Mungu
mwingine
ila
wewe,
Yesu
alisema:
Kwa
nini
kunijaribu?
Refrain —
assemblée
Ee
Bwana,
yote
ni
yako,
Wewe
Mungu,
hakuna
mwingine.
Ya
Kaisari
tumpe
Kaisari,
Na
ya
Mungu
tumpe
Mungu.
Yesu
alisema:
Kwa
nini
kunijaribu?
Nionyesheni
sarafu
ya
kodi.
Ya
Kaisari
mpeni
Kaisari,
Na
ya
Mungu
mpeni
Mungu.
Kutoka
mashariki
hata
magharibi,
Watu
wajue
wewe
ndiwe
Bwana.
Hakuna
Mungu
mwingine
ila
wewe,
Yesu
alisema:
Kwa
nini
kunijaribu?
Ee
Bwana,
yote
ni
yako,
Wewe
Mungu,
hakuna
mwingine.
Ya
Kaisari
tumpe
Kaisari,
Na
ya
Mungu
tumpe
Mungu.
Kwa
sura
yako
ulituumba,
Mioyo
yetu
tunakutolea.
Tuishi
kwa
haki
na
upendo,
Maisha
yetu
yakutukuze.