Frobits
🎵 A song made on Frobits

Joyce Is Joy

Peliwaka Kuku Center · 🇹🇿 Tanzania
0:000:00
Download Remix
Make your own song
Continues securely on the web
Lyrics

Joyce Joyce Joyce..sura Yako nzuri yaendana na moyo wako mwema. Tabasamu lako daima huleta Nuru kwa wengi. Ni raha kuwa jirani nawewe ni kama.harufu nzuri ya maua mazuri. Mungu kakupendelea kukupa nafasi ya nane ambayo ni.kama ya kwanza timiza wajibu wako mamangu. Imani Yako kwa Mungu wako usiiache kamwe. Mtumainie Mungu kwa moyo wako wote Wala usizitegemee akili zako mwenyewe. Daima Baraka anakuombea na kukuona wa maana anakuombea upate baraka wewe uliye furaha kama jina lako. Mungu wa Mbinguni akutunze mchaga WA WA watu....hahaaaa...tulituliiii waleleleeeee...cheza Leo na daima...imba Leo na daima. Sifa zako zaenea Mbeya mpka Dodoma. A town ndo usiseme. Unyeyekevu wako iwe dira na Munguatafungua milango ya baraka zako.....nakupenda na twakupenda. Ndugu jamaa na marafiki wanaona fahari kuwa na kipenzi kama.wewe. Chichivhuuuuu...Raha kuwa nawe Joyce kipenzi cha wazazi...madeko ndo kama.yote...Tuliza akili mama udumu na Nuru usoni Pako daima..Nakuombea...twakuombea....ishi sana tu mpenndwa...Love yoooooo

More songs by Peliwaka Listen to songs created by others
FROBITS