Uliniona
sina
thamani
Ukanitupa
kama
takataka
barabarani
Nilikupenda
kwa
moyo
Lakini
ukanipa
majuto
na
vilio
Uliniacha
nikiwa
sina
mali
Ukanidharau
mbele
ya
watu
wote
tena
mapenzi
na
wewe
Ulisha
niacha
Leo
niko
bora
kwa
hali,
unanitaka?
Sihitaji
tena,
ondoka
kwenye
maisha
yangu
Ulisha
niacha
Leo
niko
bora
kwa
hali,
unanitaka?
Sihitaji
tena,
ondoka
kwenye
maisha
Sasa
hivi
nimejijenga,
niko
Unarudi
kwangu
ukitaka
tuwe
tena
mpenzi,
mlango
umeshafungwa
Ufunguo
nimeshaitupa
baharini
Ulisha
choka
moyo
wangu
na
Sikutaki
tena,
tafuta
kwingine
Bongo
hii
ni
kubwa,
nenda
sitaki
majuto
Sihitaji
tena
mapenzi
na
wewe
Ulisha
Leo
niko
bora
kwa
hali,
unanitaka?
Sihitaji
tena,
Sihitaji
tena,
ondoka
kwenye
Moyo
wangu
ulisha
choka
mateso
Hukuniwazia
mema,
uliniona
wa
Leo
nimefanikiwa
unataka
Poa
sana,
lakini
safari
yako
imefika
Usilie
sasa,
hukujua
thamani
yangu
Ulinipoteza
nilipokuwa
nimeanguka
Sasa
nimesimama,
siwezi
kukuangalia
Twende
mbali,
usinikumbushe
Ulisha
choka,
mimi
nimeshachoka
zaidi
Mapenzi
yalikufa
siku
uliyoniacha
Sihitaji
tena
mapenzi
na
wewe
Ulisha
niacha
niteseke,
Leo
niko
bora
kwa
hali,
unanitaka?
Sihitaji
tena,
ondoka
kwenye
maisha
Sihitaji
tena
mapenzi
tena
mapenzi
Ondoka,
tafuta
kwingine
mpenzi
Bongo
imebadilika,
na
mimi
nimebadilika
Sihitaji
Ah
ah!
Bongo!