[male vocals] Ah,
ooh!
Tunamkumbuka
leo.
Baba
yetu,
pumzika
kwa
amani!
Studio
Clova
Sound,
DJ
Dimpano
Bienfait,
Tarehe
tano
mwezi
wa
saba,
mwaka
elfu
mbili
ishirini
na
ine,
Jua
lilizama
pale
Bunyakiri,
kijiji
cha
Karasi,
Bunyesi.
Uliacha
mwili,
ukaenda
safari
ya
milele
baba,
Baada
ya
mapambano
marefu,
ukatushindia
kwa
amani.
Papa
Mushipi
Ena
Bunyendje,
mshauri
wetu
wa
kweli,
Uliacha
amani,
ndiyo
utajiri
mkubwa
uliotuachia.
Hukututendea
mabaya,
hukutulaza
na
lawama,
Baraka
zako,
baba,
zinatuongoza
hadi
leo.
Chefferie
ya
Buhavu,
Kalehe
yote
inakulia,
Ulikuwa
baba
muzazi,
ulikuwa
mwanga
wa
kila
mtu.
Maman
MWAMINI
NASANDUKU
UBARIKIWE
kwani
umeendelesha
kazi
ambapo
baba
aliachiya
ule
shuhudiwa
na
kila
Mutu,
Tunakumbuka
busara
zako,
tunakumbuka
upendo
wako,
Ulikufa
bila
shida,
ulikufa
na
moyo
mweupe.
Papa
Mushipi
Ena
Bunyendje,
mshauri
wetu
wa
kweli,
Uliacha
amani,
ndiyo
utajiri
mkubwa
uliotuachia.
Hukututendea
mabaya,
hukutulaza
na
lawama,
Baraka
zako,
baba,
zinatuongoza
hadi
leo.
Dada
yangu
maelezo
mama
baraka
tusi
jikamate
kama
mayatima
kwani
baba
ametuachiya
baraka
kwa
maisha
ingawa
dunia
inaweza
tu
fatililiya
ila
barabara
za
wazazi
tunazo,
maman
Mwamini
amekuwa
nguzo
kwetu
kabisa
Tunamuenzi
shujaa,
tunamuenzi
mwalimu
wetu.
Uliyetufunza
kusamehe,
uliyetufunza
kupenda
maadui
zetu,
Umeenda
kwa
amani,
na
sisi
tuko
na
amani.
Hatuna
dhahabu,
hatuna
fedha
kama
urithi,
Ila
tuna
heshima
uliotupatia,
hiyo
ndiyo
hazina.
Tutakumbuka
kila
neno,
tutafuata
kila
nyayo,
Baba
pumzika,
kazi
yako
hapa
duniani
ingali
naendeleya
kupiya
mema
uli
tenda.
Papa
Mushipi
Ena
Bunyendje,
mshauri
wetu
wa
kweli,
Uliacha
amani,
ndiyo
utajiri
mkubwa
uliotuachia.
Hukututendea
mabaya,
hukutulaza
na
lawama,
Baraka
zako,
baba,
zinatuongoza
hadi
leo.
Papa
Mushipi,
safari
salama,
Tunakumbuka,
tunakupenda
daima,
Baraka
zako
ziwe
nasi,
milele
na
milele.
Lala
kwa
amani,
baba
yetu,
lala
kwa
amani!