*1.* Uzima
ninao
moyoni
daima
Uzima
ni
Yesu
Mwokozi
Aliyeingia
rohoni
hakika
Akanitilia
'hodari. *
Kiitikio:*
Nashiba
rohoni
kwa
raha
ya
Mungu
Na
moto
wa
mbingu
ulimo.
Napata
kukaa
nuruni
kabisa
Na
nuru
ni
Yesu
Mwokozi. *2.*
Baraka
zilizo
katika
wokovu
Nilizozipata
kwa
bure
Nilipoungama
makosa
na
dhambi
Kwa
Yesu
Mwokozi
wa
wote. *3.*
Mwokozi
aliniondoa
porini
Natunzwa
shambani
mwa
Mungu
Na
sasa
kwa
mvua
na
jua
la
mbingu
Ninamzalia
matunda. *4.*
Naona
maisha
ni
yenye
maana
Nii
ku'tumikia
Mwokozi.
Kuishi
ni
Kristo
na
kufa
faida
Kwa
kila
mkristo
wa
kweli.