Frobits
🎵 A song made on Frobits

La Vie Dans Mon Cœur

Odilon · 🇨🇩 DR Congo
0:000:00
Download Remix
Make your own song
Continues securely on the web
Lyrics

*1.* Uzima

ninao

moyoni

daima

Uzima

ni

Yesu

Mwokozi

Aliyeingia

rohoni

hakika

Akanitilia

'hodari. *

Kiitikio:*

Nashiba

rohoni

kwa

raha

ya

Mungu

Na

moto

wa

mbingu

ulimo.

Napata

kukaa

nuruni

kabisa

Na

nuru

ni

Yesu

Mwokozi. *2.*

Baraka

zilizo

katika

wokovu

Nilizozipata

kwa

bure

Nilipoungama

makosa

na

dhambi

Kwa

Yesu

Mwokozi

wa

wote. *3.*

Mwokozi

aliniondoa

porini

Natunzwa

shambani

mwa

Mungu

Na

sasa

kwa

mvua

na

jua

la

mbingu

Ninamzalia

matunda. *4.*

Naona

maisha

ni

yenye

maana

Nii

ku'tumikia

Mwokozi.

Kuishi

ni

Kristo

na

kufa

faida

Kwa

kila

mkristo

wa

kweli.

More songs by Odilon Listen to songs created by others
FROBITS