Sir
Nixy!
(Ayi,
mmmh!)
Cold
nights,empty
bed...(So
lonely)
I
miss
you,Lily
(i
really
do)
Kila
kona
nakuona
wewe...(Everywhere,baby)
Moyo
unavuja
damu,njiwa
wangu
nenda...(Fly
away)
Fly
away,take
my
soul
to
her.(Take
it
to
her...)
Nje
kuna
giza,na
baridi
inanitesa
(inanichoma)
Kitanda
kikubwa,upande
wako
unanitonesha
(I'm
freezing)
Sili
vizuri,hata
usingizi
umenitenga
(Sina
amani)
Kila
nikifumba
macho,sura
yako
inanijenga
(i
see
you)
Kwenye
ndoto
zangu,wewe
ndio
tegemeo
(Only
you)
Tabasamu
lako
Lily,ndio
langu
pumzi
(My
breath)
Huku
niliko,niko
peke
yangu
sijiwezi
I'm
losing
my
mind,imezidi
hii
hamu
ya
mapenzi
(I'm
going
crazy)
Naye
njiwa
huyu
hapa,nimemfunga
barua
(Kasome
baby)
Amepaa
anakuja,ujumbe
utautambua
(yeah)
Moyo
wangu
uko
kwako,hata
kama
niko
mbali
Don't
you
ever
doubt
me,mapenzi
yetu
ni
ya
kweli
(Amini
mimi)
Naandika hizi mistari,machozi yanadondoka (Inauma ujue)
Kila sekunde bila wewe,nakiri nachanganyikiwa (I swear)
I'm so lonely,baby,blocks zote zimejaa jina lako (Lily!Lily!)
Lakini vumilia kidogo,nakuja kwenye anga zako (I'm on my way)
Oh
Lily,linda
hicho
kifua,dont
let
nobody
inside
(Don't
Huku
niliko
naumia,I'm
crying
deep
down
inside
(I'm
crying,ooh)
You
are
my
context,mboni
yangu
ya
jicho
(my
beautiful
girl)
Bila
wewe
mpenzi,maisha
yangu
yana
kikomo
(hadi
mwisho
wa
dunia)
hizi
salamu
zangu
(salamu
zangu
eeh)
You
are
my
forever,malkia
wa
moyo
wangu.(Malkia
wangu...hmmm)